Dereva treni la Mwakyembe, acha kupiga honi njia nzima wengine tuna presha

Daah! Nalipenda sana lile treni. Hivi kumbe bado lipo? Nakumbuka wakati barabara ya mwendokasi inajengwa foleni ilikuwa kubwa sana so ndio ulikuwa usafiri wangu. Safi sana
 
Kamanda nimekupa likee kubwa maana sio kwa onyo hilo kama jamaa huwa ni mwanajf atajirekebisha
 
Dereva wa treni la Mwakyembe wa jioni hii wacha upumbav*, njia nzima unapiga honi tena kwa nguvu kubwa, hujui pembeni ya reli kuna wakazi na wengine wana magonjwa ya moyo na presha??
Usisahau ule ugonjwa mwingine hautaki kelele,bush...

Pole mgonjwa
 
Sasa ulitaka nifanyaje, hizi honi ni kwajili yenu...

Na kesho naapiga Honi Mbili Kwa Preshaa Akeeee
Nimecheka hadi nikadondosha sahani ya wali choroko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dereva wa treni la Mwakyembe wa jioni hii wacha upumbav*, njia nzima unapiga honi tena kwa nguvu kubwa, hujui pembeni ya reli kuna wakazi na wengine wana magonjwa ya moyo na presha??
Labda alikuwa anauliza abiria kama wanaenda
 
Paukwa .......pakawa
Kitendawili.....tega
Treni.....la Mwakyembe
Maji.......ya Kandoro
Jiji.........la Makamba
Nani Tena kaacha legasi Dar
 
Dereva wa treni hupiga honi kwenye alama ya honi tu. Pia umemsingizia dereva kuwa kapiga honi njia nzima, wakati hukuwa ndani ya treni.
Whistle, humuamuru dereva apige honi.
1617854601443.png

1617854738932.png

1617854657261.png


1617854601443.png
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom