Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa nzuri, napatikana

Mar 20, 2017
93
173
Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari.

Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho najivunia na ninajiona nina utofauti na madereva wengine.

- Najua kuandika na kuongea Kiingereza vizuri kabisa.

- Nina uwezo wa kuelewa jambo kwa haraka sana na kulifanya kwa wepesi sana

- Napenda usafi kwa hiyo muda wote chombo changu lazima kiwe safi na chenye kunukia vizuri sana

- Najua maeneo mengi sana hapa jijini Dar es Salaam kwa sababu nimekuwa dereva Uber kwa miaka 3 huku nikifikisha trip zaidi ya 3000

- Ni kijana mwaminifu sana na mwenye hofu ya Mungu.

Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa kama hizo na atapenda kushuhudia kwa macho basi anitafute kwa namba hizi:

0758659261

41814282_1936524266462302_6763663202946383872_o.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0654795952

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangazo lako liko kiubunifu zaidi, nimependa jinsi ulivyojielezea.

Jaribu kusearch Uber humu, niliona kuna matangazo ya kutafuta dreva.
 
Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari.

Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho najivunia na ninajiona nina utofauti na madereva wengine.

- Najua kuandika na kuongea Kiingereza vizuri kabisa.

- Nina uwezo wa kuelewa jambo kwa haraka sana na kulifanya kwa wepesi sana

- Napenda usafi kwa hiyo muda wote chombo changu lazima kiwe safi na chenye kunukia vizuri sana

- Najua maeneo mengi sana hapa jijini Dar es Salaam kwa sababu nimekuwa dereva Uber kwa miaka 3 huku nikifikisha trip zaidi ya 3000

- Ni kijana mwaminifu sana na mwenye hofu ya Mungu.

Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa kama hizo na atapenda kushuhudia kwa macho basi anitafute kwa namba hizi:

0654795952

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini uliacha kazi ya UBER ? Na nini changamoto ya kazi hiyo ?
 
habari ndugu zangu! jina langu naitwa James pPtrick naishi kunduchi Dar es Salaam.

Natafuta kazi ya udereva wa gari. Iwe kwenye kampuni au mtu binafsi, nina uzoefu wa miaka 6 sasa na pia niliwah kufanya kazi ya uber na taxfy kwa miaka 3 hiyo imenifanya nijue Dar es Salaam vizuri sana.basi kama kutakuwa na mtu mwenye kuhitaji dereva bora anicheki kwa namba 0624795952 au email yangu ni jpmkwabi08@gmail.com.

Asanteni sana!
 
Habari ndugu zangu! jina langu naitwa James patrick mkwabi naishi kunduchi Dar es Salaam.

Natafuta kazi ya udereva wa gari. Iwe kwenye kampuni au mtu binafsi, nina uzoefu wa miaka 6 sasa na pia niliwah kufanya kazi ya uber na taxfy kwa miaka 3 hiyo imenifanya nijue Dar es Salaam vizuri sana.

Basi kama kutakuwa na mtu mwenye kuhitaji dereva bora anicheki kwa namba 0624795952 au email yangu ni jpmkwabi08@gmail.com.

Asanteni sana!
 
Attachments

  • Share 'james cv..docx
    13.8 KB · Views: 16
Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari.
Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza toke 2014 na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho najivunia na ninajiona nina utofauti na madereva wengine.
- Najua kuandika na kuongea Kiingereza vizuri kabisa.
- Nina uwezo wa kuelewa jambo kwa haraka sana na kulifanya kwa wepesi sana
- Napenda usafi kwa hiyo muda wote chombo changu lazima kiwe safi na chenye kunukia vizuri sana
- Najua maeneo mengi sana hapa jijini Dar es Salaam kwa sababu nimekuwa dereva Uber kwa miaka 3 huku nikifikisha trip zaidi ya 3000
- Ni kijana mwaminifu sana na mwenye hofu ya Mungu.
-Naweza kufanya kazi ya kumuendesha mtu binafsi,uber au kwenye kampuni

Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa kama hizo na atapenda kushuhudia kwa macho basi anitafute kwa namba hizi: 0624795952
 
Habari!

Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es Salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari.

Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho najivunia na ninajiona nina utofauti na madereva wengine.

- Najua kuandika na kuongea Kiingereza vizuri kabisa. - Nina uwezo wa kuelewa jambo kwa haraka sana na kulifanya kwa wepesi sana.

- Napenda usafi kwa hiyo muda wote chombo changu lazima kiwe safi na chenye kunukia vizuri sana.

- Najua maeneo mengi sana hapa jijini Dar es Salaam kwa sababu nimekuwa dereva Uber kwa miaka 3 huku nikifikisha trip zaidi ya 3000
- Ni kijana mwaminifu sana na mwenye hofu ya Mungu.

Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa kama hizo na atapenda kushuhudia kwa macho basi anitafute kwa namba hizi: 0624795952
 
Dereva gani unachagua eneo la kazi? Sifa ya dereva ni kuwa versatile, kunyumbulika kutochagua eneo la kazi? kwa hiyo nikitaka kukupa kazi ya Namtumbo ndanindani huko Nanjilinji hutafanya kwa kuwa umezoea DAR tu?
 
Vijana wenzangu sijui mna matatizo gani? hii ni page ya kuomba ajira sio yaa kurekebisha tabia ya mtu..wewee ukiona mtu kapost tangazo kama alikuhusu na na unaona uwezi kumsaidia kaa kimya tu na sio kumkwaza mtu.wote humu tuna shida ya ajira .huo muda unaotumia kumkera mtu si utumie kuandika na ww maombi yako?? watanzania mmezoea kila sehem ni ya kufanya umbea tu.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom