Dereva mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10 natafuta kazi

TheCrocodile

JF-Expert Member
May 31, 2021
1,077
2,813
Habari wakuu,

Natumaini mko poa. Nina ndugu yangu wa karibu, ni mtoto wa baba yangu mkubwa ambae anatafuta kazi ya udereva wa malori au gari za kawaida. Ana Leseni class C1,C2 na C3.

Ana uzoefu wa zaidi ya miaka 10 wa kuendesha malori na magari ga kawaida, alikua kwenye kampuni moja ya vinywaji huko kanda ya ziwa hadi mwezi wa nne mwaka huu ambapo alipunguzwa kwa redundancy kutokana na kampuni kupunguza idadi ya wafanyakazi.

Ana uzoefu mkubwa wa kufanya kazi ya udereva kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Geita, Kagera, Mara, Kilimanjaro, Arusha, Tanga, Pwani na Dar es salaam. Hivyo ana ufahamu mkubwa wa barabara na maeneo kwa mikoa hiyo.

Pia, jamaa ana uwezo mkubwa sana wa kufahamu maeneo na kufuata maelekezo (anaweza kufika maeneo ambayo hajawahi kufika kwa maelekezo ya ramani kwa urahisi sana).

Kwa yoyote ambae ana kazi ya udereva au ana connection inayoweza kumpatia kazi huyu ndugu yangu nitashukuru sana wadau, natanguliza shukrani zangu.

Kwa atakaehitaji details zaidi anicheki PM, au hata aki comment hapa kuwa anahitaji details basi nitamcheki PM na kumuunganisha na mhusika.

Ahsanteni sana!
 
Wakulungwa, nasisitiza tu.
 
Miaka yote ya kazi hana connection kweli mpaka wewe ndie umtafutie.
Connection zake nyingi zimekwama mkuu..... Ahadi ni nyingi so far from his connections, but nothing has materialized.
Anaunga tu kwa sasa daywaka za hapa na pale, so na mimi nimeona nisaidie juhudi zake kwa kuweka hapa, si kwamba analala tu mkuu.
Ahsante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom