Dereva mahiri huyu hapa

GAGL

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
388
391
Anaitwa henry jonas, ana uzoefu wa takribani miaka mitano, ana leseni inayomruhusu kuendesha magari aina yote isipokuwa magari ya ujenzi na mabasi ya mikoani, amehitimu kidato cha nne na amepitia chuo cha mafunzo ya udereva veta na kufuzu vizuri katika fani hii. Anapatikana dar es salaam, namba yake ya kiganjani ni 0713 764684, tafadhari saidia kumpatia ajira kijana huyu maana ni mtendaji kazi mzuri wa kazi na ana moyo wakujituma, anaelewa nini afanye katika kutimiza wajibu wake kwa majukumu aliyopewa. Anatanguliza shukrani kwa wale wote watakaosoma taarifa hii na shukrani za dhat kwa wote watakaochukua hatua zaidi kumsaidia.
 
Upuuuuuziiiiiiiiiiii,yani unashindwa kwenda jukwaaaaa la Ajira na Kazi unakuja huku........
 
Back
Top Bottom