jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
sawa hiyo!!!!! aaaaah ta!!!!!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko, kikwata kalewa cheo!!!!!!!
haaa!
sawa hiyo!!!!!!!!!
aaaah ta!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko!!!!!
anamkwepa mponda!!!!!
haaa!
sawa hiyo!!!!!!!
aaaah ta!!
hiyo si sawa kikwata acha vituko!!!!!!!
njiani kamwona nkya!!!!
aaaaah!!!!
sawa hiyo!
aaaaah ta!!
hiyo si sawa kikwete acha vituko!!!
Habari hizi nawaletea nikiwa ndani ya gari husika ni kuwa dereva wa basi la tanzania anawakwepa kuwagonga mataahira wawili waliojitokeza barabarani ghafla, na sasa basi linayumba ile mbaya!!! kwa kuwa ni lazima basi hili litaanguka, tutarajie majeruhi wengi sana, maafa makubwa kuikumba jamii ya watanzania wanaosafiri na basi hili.
taarifa za kiintelijensia zinaonyesha dereva licha ya kuwa hana leseni, lakini pia amelewa chakari, mashuhuda waliomuona muda mfupi kabla ya safari wamenieleza kuwa alionekana akigida sambamba na devid kameroon, huku akionyesha picha alizopiga akibembea kwenye kisiwa cha majaniiiiiiii, picha alizopiga akigonga kengele kwenye lile soko la hisa la mamtoni, picha alizopiga na boiz tu meni na nyinginezo. abiria zaidi ya milioni arobaini mashakani!!!!!!
chukueni hatua enyi wacha mungu kama bado mpo.
so long!!!!!!!!!!!!(sijui kiswahili chake msaada)