Dereva kuangusha gari lililojaa abiria zaidi ya 65 kwa kukwepa mataahira 2

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,320
sawa hiyo!!!!! aaaaah ta!!!!!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko, kikwata kalewa cheo!!!!!!!
haaa!
sawa hiyo!!!!!!!!!
aaaah ta!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko!!!!!
anamkwepa mponda!!!!!
haaa!
sawa hiyo!!!!!!!
aaaah ta!!
hiyo si sawa kikwata acha vituko!!!!!!!
njiani kamwona nkya!!!!
aaaaah!!!!
sawa hiyo!
aaaaah ta!!
hiyo si sawa kikwete acha vituko!!!

Habari hizi nawaletea nikiwa ndani ya gari husika ni kuwa dereva wa basi la tanzania anawakwepa kuwagonga mataahira wawili waliojitokeza barabarani ghafla, na sasa basi linayumba ile mbaya!!! kwa kuwa ni lazima basi hili litaanguka, tutarajie majeruhi wengi sana, maafa makubwa kuikumba jamii ya watanzania wanaosafiri na basi hili.
taarifa za kiintelijensia zinaonyesha dereva licha ya kuwa hana leseni, lakini pia amelewa chakari, mashuhuda waliomuona muda mfupi kabla ya safari wamenieleza kuwa alionekana akigida sambamba na devid kameroon, huku akionyesha picha alizopiga akibembea kwenye kisiwa cha majaniiiiiiii, picha alizopiga akigonga kengele kwenye lile soko la hisa la mamtoni, picha alizopiga na boiz tu meni na nyinginezo. abiria zaidi ya milioni arobaini mashakani!!!!!!
chukueni hatua enyi wacha mungu kama bado mpo.
so long!!!!!!!!!!!!(sijui kiswahili chake msaada)
 
huyo dereva naye sitahira anaona bora aokoe maisha ya matahira wenzie 2 kuliko roho alizobeba kwenye basi lake!!
 
Unaleta mzaha kwenye mambo ya akili eeeh watakumalima sasa hivi

hamjaona kwa gazeti watu wanatolewa muhimbili kupelekwa kusikojulikana? kama mnamwombaga mungu mwombeni jamani!!!!!
 
huyo dereva naye sitahira anaona bora aokoe maisha ya matahira wenzie 2 kuliko roho alizobeba kwenye basi lake!!

ni kweli mkuu tumeingia basi si sahihi, maajenti wametuchuuza, namkumbuka ajenti mmoja anaitwa kinana!
 
Haka kawibo kamenikumbusha hee..........hata sijui nsemeje.

kalitungwa miaka ileeeeee na watunzi wenye akili, sisi tutaishia kupandisha kuku kwenye baiskeli.
 
Nadhani abiria watamuadabisha dereva muda si mrefu, BTW, kule syria waziri wa mafuta amemkibia rais wake- amejitoa kwenye baraza la mawaziri.
 
Kweli gari limepinduka miguu juu na linaua abiria sasa. Lakini makosa ni kwa aliyemuajiri huyu dereva aliyeangusha gari kwani inaonyesha hana leseni au kama anayo huenda aliipata mitaani ya vishoka

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kweli gari limepinduka na linaua abiria sasa. Lakini makosa ni kwa aliyemuajiri huyu dereva aliyepindua gari kwani inaonyesha hana leseni au kama anayo huenda aliipata mitaani ya vishoka

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Si wapiga debe mkuu!
au umesahau kuna waliosema eti huyu dereva amechaguliwa na mungu, na sisi hatukuwauliza huyo mungu aitwaje!!!!!!!
 
sawa hiyo!!!!! aaaaah ta!!!!!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko, kikwata kalewa cheo!!!!!!!
haaa!
sawa hiyo!!!!!!!!!
aaaah ta!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko!!!!!
anamkwepa mponda!!!!!
haaa!
sawa hiyo!!!!!!!
aaaah ta!!
hiyo si sawa kikwata acha vituko!!!!!!!
njiani kamwona nkya!!!!
aaaaah!!!!
sawa hiyo!
aaaaah ta!!
hiyo si sawa kikwete acha vituko!!!

Habari hizi nawaletea nikiwa ndani ya gari husika ni kuwa dereva wa basi la tanzania anawakwepa kuwagonga mataahira wawili waliojitokeza barabarani ghafla, na sasa basi linayumba ile mbaya!!! kwa kuwa ni lazima basi hili litaanguka, tutarajie majeruhi wengi sana, maafa makubwa kuikumba jamii ya watanzania wanaosafiri na basi hili.
taarifa za kiintelijensia zinaonyesha dereva licha ya kuwa hana leseni, lakini pia amelewa chakari, mashuhuda waliomuona muda mfupi kabla ya safari wamenieleza kuwa alionekana akigida sambamba na devid kameroon, huku akionyesha picha alizopiga akibembea kwenye kisiwa cha majaniiiiiiii, picha alizopiga akigonga kengele kwenye lile soko la hisa la mamtoni, picha alizopiga na boiz tu meni na nyinginezo. abiria zaidi ya milioni arobaini mashakani!!!!!!
chukueni hatua enyi wacha mungu kama bado mpo.
so long!!!!!!!!!!!!(sijui kiswahili chake msaada)

too low.
 
Ubunifu ndo huu kwa wale mbumbumbu wenzangu na mie chaali!!wamejitengenezea script isiyouzika!!
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom