Dereva daladala auwawa kwa kupigwa risasi Sinza Kumekucha

Hv kifo kama hk ni cha kujitakia au ni mapenzi ya Mwenyezi.. RIP na matusi yako dereva!
 
Shule inalipa mwisho wa mwezi kwa Cheki,

Wanafunzi unatakiwa uwabebe kila siku ya shule.
Kwani cheki inayolipwa na shule mwisho wa mwezi haijumuishi gharama za kuwabeba wanafunzi kila siku ?
 
Madereva wa dala dala hovyo sana wanakutukana live hawajui uko na mzazi wako au mkwe na familia!ni dharau sana na inatia hasira sana!
 
Kwani cheki inayolipwa na shule mwisho wa mwezi haijumuishi gharama za kuwabeba wanafunzi kila siku ?

Kaka,
Shule inalipa Tshs 70,000 kwa siku kwa Coaster, na Tshs 50,000 kwa Hiace/Caravan. Gari inatakiwa kuzunguka karibia Kilometa 60 kwa siku, ambazo zinaweza kula lita 10 x Tshs 2,000 = Tshs 20,000 kwa siku.

Dereva Posho Tshs 10,000 na konda wake ambae ndio atakua akiangalia wanafunzi ndani labda ni Tshs 8,000,

Hapo bado service ya gari kila baada ya wiki mbili ambayo inakula kama Tshs 70,000/7 = Tshs 10,000 wa siku, hivyo Tshs 48,000 kwa siku.

Sasa mkuu ukipewa cheki yenye hesabu za Tshs 70,000 kwa siku ukabaki na Tshs 22,000 huoni kama hailipi? Hujapiga hesabu za labda Matengenezo makubwa, depreciation bado hapo, Huoni mkuu wangu hali itakua mbaya zaidi??
 
Sasa kwa nini isichukue abiria wa kawaida mwanzo mwisho tujue moja? Hesabu ya siku 80 mpaka 100,000 (Coaster to Gobole) hapo ushaondoa mafuta, posho za makonda, rushwa za askari tigo and all that jazz. Why kubeba wanafunzi ambao wanalipa 70 faida 22?
 
Abiria wa Kawaida gari inazunguka sana, tofauti na wanafunzi. Hivyo hata kuchakaa inachakaa haraka pia. Matengenezo ya daladala na school bus ni tofauti.

Pili Alfu 80 ya kila Siku ni ngumu kuitunza kuliko 2.0Mil ya kila mwezi. Hata kama una kitu unahitaji kufanya inakua rahisi.
 
Sasa kwa nini isichukue abiria wa kawaida mwanzo mwisho tujue moja? Hesabu ya siku 80 mpaka 100,000 (Coaster to Gobole) hapo ushaondoa mafuta, posho za makonda, rushwa za askari tigo and all that jazz. Why kubeba wanafunzi ambao wanalipa 70 faida 22?

Naomba kuongeza hapo mkuu...Tatizo Matumizi. Nitashukuru sana kupata ajira ya kunilipa shs 22,000/= Kila siku huku nimeishakunywa chai na kupata luch tayari...maana 22,000 x 22, ukiondoa jumamosi na jumapili, ni sawa sawa na 484,000/=! Hii si hela ndogo ukichukulia kuwa mshahara wa Kima cha Chini Bongo ni shs...Ni shs ngapi vile??:A S angel:
 
maskini tushapoteza nguvu kazi ya taifa
kila nafsi itaonja umauti,na kila kifo hakikosi sababu.
R.I.P DEREVA.
 
Naomba kuongeza hapo mkuu...Tatizo Matumizi. Nitashukuru sana kupata ajira ya kunilipa shs 22,000/= Kila siku huku nimeishakunywa chai na kupata luch tayari...maana 22,000 x 22, ukiondoa jumamosi na jumapili, ni sawa sawa na 484,000/=! Hii si hela ndogo ukichukulia kuwa mshahara wa Kima cha Chini Bongo ni shs...Ni shs ngapi vile??:A S angel:
Sijakuelewa mkuu wangu, unazungumzia mtu aliewekeza Kwa Kununua Coaster au Nissan Civilian ya kuanzia Tshs 25Mil aje apate Tshs 484,000 kwa mwezi?
 
Abiria wa Kawaida gari inazunguka sana, tofauti na wanafunzi.
Well, hivyo ndivyo mnavyosema, sasa ninaposhangaa watu hao hao mnaosema gari isichakae gari ikimaliza shule inapelekwa kwenye ruti za kawaida Tandika - Kijichi vilimani huko njia mbovuuu...! I say to myself, what's the point?

By the way, kuiba route namna hiyo hazikamatwi every other night? And who pays for that? Kwa saab, ningekuwa mimi ndo suka, ni kwa vile hawa wadereva na makonda masikini hawana negotiating leverage kwa saab hawana professional qualifications zozote lakini ka mi ndo dereva umenambia mshahara wangu na konda wangu utatoka kwenye route za kuiba, na unaniagiza nikakuzalishie mafuta kwenye routi za kuiba, nikikamatwa faini ama rushwa utatoa wewe mmiliki! What's the industry practice there?

Pili Alfu 80 ya kila Siku ni ngumu kuitunza kuliko 2.0Mil ya kila mwezi. Hata kama una kitu unahitaji kufanya inakua rahisi.
Hii kwa mimi sio tatizo, kwa sababu naona kama mtu anashindwa financial frugality ya ku manage 80,000/= za mradi wa dala dala moja, mbili, then he is not ready for the bigger and better leagues.
 
Hao ndio wenye mawazo mgando. What of alimdulumu mtu au alikuwa anatafuna demu wa mtu. Ukweli anaujua marehemu na muuaji
 
Well, hivyo ndivyo mnavyosema, sasa ninaposhangaa watu hao hao mnaosema gari isichakae gari ikimaliza shule inapelekwa kwenye ruti za kawaida Tandika - Kijichi vilimani huko njia mbovuuu...! I say to myself, what's the point?

By the way, kuiba route namna hiyo hazikamatwi every other night? And who pays for that? Kwa saab, ningekuwa mimi ndo suka, ni kwa vile hawa wadereva na makonda masikini hawana negotiating leverage kwa saab hawana professional qualifications zozote lakini ka mi ndo dereva umenambia mshahara wangu na konda wangu utatoka kwenye route za kuiba, na unaniagiza nikakuzalishie mafuta kwenye routi za kuiba, nikikamatwa faini ama rushwa utatoa wewe mmiliki! What's the industry practice there?

Hii kwa mimi sio tatizo, kwa sababu naona kama mtu anashindwa financial frugality ya ku manage 80,000/= za mradi wa dala dala moja, mbili, then he is not ready for the bigger and better leagues.
Kaka, ninamiliki both daladala na school buses. Nachokuambia ni vivid experience from both businesses. Kuiba njia hakuzuiliki, pia kunaanzia Jioni wakati abiria ni wengi, hivyo tunakua tunaisaidia jamii pia.

Pia, sio Siku zote hua wanatafuta mafuta na posho, wikiend ni hela ya tajiri au Services day
 
Back
Top Bottom