Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Sasa sijui Taarifa tunatoa wapi kwa Mwendokasi huu...
Dereva hana huruma na abiria wake licha ya kujua Mwendokasi ni hatari kwa usalama wa Watu... Ona sasa tunafika sehemu ya tukio moja hivi badala ya Dereva kupunguza Mwendokasi amatusaidie majeruhi ama hata tuseme poleni kwa yaliyo wakuta ndiyo kwanza Dereva anasema haya yaacheni kama yalivyo na yakitoka hapo yakajiuguze yenyewe...
Kwakweli hili gari la huyu Dereva natamani kulishuka ili nipande gari jingine ila Bahati Mbaya kwenye Barabara hii hakuna Gari jingine maana Dereva huyu anamkataba na Muajiri wa Miaka Mitano....
Daah na Safari yangu ilivyo Ndefu mpaka nifike kule kwetu Lwami ama niende kule Milimani Usangi pale Kighare na ile milima yote Kuanzia pale maroro Mwanga mpaka nifike hapo Kikweni gari itakuwa imechemsha sana...
Sasa Dawa ya huu Mkataba wa huyu Dereva ukiisha kwakuwa anaendesha gari bila kuzingatia alama za Barabarani Mkataba sinto muongeza tena... Kwa ambaye hafurahii speed ya Gari kwenye maeneo yasiyo ruhusu aseme..[HASHTAG]#Derevasimamishagari[/HASHTAG]