Dereva alieuwa kundi la five stars ajisalimisha polisi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,133
Katika kudhihirisha damu nzito kuliko maji
yule dereva aliesababisha vifo vya kundi la 5stars amejisalimisha mwenyewe polisi
kamanda wa polisi wa mkoa wa moro adolphina chialo amesema dereva huyo juma hassan-31
alijisalimisha kituo cha jirani karibu na ajali ilipotokea, kamanda huyo amesema dereva huyo
ameshaandaliwa hati za mashtaka ikiwemo ya kuendesha gari kwa mwendo kasi,uzembe,kusababisha vifo vya wasanii na kutoroka baada ya ajali...hii ni taarifa tu kwa wale mliouwa watoto wenu ama kwa kuwanyonga ama kuwatupa wakafa
ama kufanya abortion ogopeni kitu kinaitwa damu huwa inasafiri hata kama si leo kesho na kama si keshokeshokutwa itakutesa milele daima mpaka ukiri kosa lako ...dadazangu soln ya mimba sio kutoa ama kuharibu mimba mlee mtoto wako
hujui atakutoa lini na wapi kimaisha
polen wafiwa mungu awape uvumilivu
 
JF Premium Member
reputation_pos.png
 
Hizo sehemu nilizokuwekea RED napata mashaka na uwezo wa ufahamu wako, na inaonesha hata umri wako unaendana na hicho ulichokiandika.
sijaona ukisema wanaopiga punyeto kwamba wanapoteza watoto, na sikuelewi unaposema mtoto hujui atakutoa lini hapo ndio unaniacha hoi kabisa, hivi mtoto wa shule ya kata unategemea kweli aje kukutoa? nadhani unaota,................
 
Back
Top Bottom