Dereva akae nyuma...!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,754
....Nahodha akae nyuma, abiria tuwe mbele
Tupige vigelegele tukishafika salama....! Salama
Nimeukumbuka tu huu wimbo wenye mahadhi ya pwani

Natamani kujua maana ya huo wimbo

Hayupo asoyajua haya nnayoyasema,
Vyombo vya kusafiria huenda mbele daima
Nahodha twategemea awe mbele akinema
Manahodha wa mashua kwa nn wakae nyuma

(hapa anasema vyombo vya safari kuwa vinaenda mbele na anategemea nahodha awe huko akinema (mfano wa kunema ni kama vile watoto wa madrassa wakiwa wanatingisha vichwa vyao kwenda mbele na nyuma au kushoto na kulia kwa polepole)

Nahodha akakae mbele abiria tuwe nyuma
Tuvikwepe vipengele chombo kisiende mrama
Tupige vigelegele tukishafika salama
(nahodha akae mbele ili acontrol chombo akishirikiana na abiria ili chombo kisiende vibaya. Wakifika salama watoe sauti za furaha kizungu wanasema shouts of joy. Nadhani tunaelewa mwisho wa safari kila mmoja anatoa sauti zake. Wengine mpk wanataja majina ya mungu nk.)

Manahodha wa mashua na ngarawa mna dhima
Sukani mwashikilia na hali mkiwa nyuma
Ajali ikitokea nani ajibu lawama
(manahodha mna liability au responsibility au kitu kama vile amana. Mnashkilia kiuno kwa nyuma je ikikosea njia nani atalaumiwa? Amekutegeshea au umeipeleka kusudi?)

Huwa mbele abiria nahodha akawa nyuma
Ni kinyume sha sheria, kimwendo na usalama
Nawaomba kuchungua ingawa ya tangu zama
(imekatazwa hata kidini pia mchezo haupendezi hiyo kitu maana hata kiafya sio nzuri rahisi mfn kupata michubuko nk. Anaomba uchunguze japo hiyo michezo ilikuwepo toka zamaani enzi za sodoma na gomora)

Nahodha nakushauri uwe mbele sio nyuma,
Ndipo mimi msafiri huwa safari salama
Bila hivyo sisafiri naichelea zahama (zahma)
(ili asafiri sharti lake nahodha akae mbele la sivyo hasafiri anaogopa tabu, mashaka, shida, vurugu, fujo, disconfort)

Je maudhui ya nyimbo ni kuhusu kuingiliwa kinyume au position ya mbuzi kagoma??

Hiyo tafsiri ni kwa mujibu wa elimu yangu ndogo ya kiswahili ya form 4. Naomba nirekebishwe kama kuna sehemu nimeelewa tofauti.
 
Back
Top Bottom