Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,593
- 6,934
Game ilikuwa poa sana, full maufund
Sanaaa,anaeiponda nawasiwasi sio shabiki wa mpira
Game ilikuwa poa sana, full maufund
Mimi nimeongelea game sijaongelea ukubwa wa derby!
Jifunze kwanza kutofautisha mambo,
ewe 'shabiki wa mpira!'
Sawa mkuu.basi itoshe tu mimi kurudia kusema ilikuwa game ya kawaida saana!
Asalaam aleykum!