Deos Khamis Hubert Mndeme ateuliwa kuwa Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania

Status
Not open for further replies.
angalau atakuwa ana kazi ya kufanya kwa kushirikiana na tume ya mawasiliano kwenye kuanzisha anuani za makazi.

ila hawa posta hawana maana kabisa. wameshasababisha upotevu wa parcel nyingi sana za watu kiasi kwamba tumeamua kutumia mashirika kama fedex na dhl kwa kazi ambazo wangeweza kuzifanya wao, aagh!
 
Hili shirika wafanyakazi wanalala ofisini toka asbuhi mpaka jioni,wanapewa mishahara bure
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom