Deogratius Nalimi Kisandu amepotelea wapi?

Wanajamvi kuna mtu alishawahi kuniokotea Mtemi Deogratius Nalimi Pio Kisandu? Huyu mudau nilishampoteza siku nyingi sana!
 
jamaa ilikuwa kama ushatumia kidang'a unaweza hisi upo Hollywood! Atakuwa busy kuanzisha chama chake maana alikuwa na nia ya kuingia mjengoni 2020.
 
Mtanesco anafurahisha lakini mpaka sasa bado sijamuona mtu wa kuziba pengo la Mtemi wetu Deogratius Nalimi wa Kisandu.

Maendeleo hayana chama
Uyu Mtanesco aliyekoseshwa kaz ya Udaktari mwenyewe anajiita Daktari wa Meno nafkiri kuna Nati flani kichwani mwake imelegea. Kiufupi niseme Dishi limeyumba chanel zote hazikamati
Anafata Nyayo za Mtemi Mwalimu Deogratius Nalimi Kisandu
 
Back
Top Bottom