mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
Wanajf, salaam!
Wengi wetu tulivyopitia cv ya huyu anayejiita Deogratius Nalimi Kisandu tumemkosoa kweli kweli, nimeshangaa mtu amewahi kufikia uamuzi wa kugombea urais bila hata uelewa wa uandishi wa cv yake binafsi.
Sasa kwa faida yake hebu ajitahidi kuandaa cv namna hii, asipofanya hivi ni rahisi sana umma kumwona kama mtu asiyekuwa mbunifu. Sasa andaa cv hivi :-
Jina: Msakila Mussa KABENDE
Kuzaliwa:- Kijiji cha Kanyonza, Kakonko - Kigoma
Mwaka: 26/05/1979
Elimu:-
(i). Msingi - Cherabulo, Kibuye na Kakonko S/M mwaka 1989 - 1995
(ii). Sekondari - Biharamulo Sekondari 1996 - 1999 na - Musoma Sekondari ya Ufundi 2000 - 2002.
(iii). Chuo cha polisi moshi 2003 - kozi ya kuruta miezi sita,
(iv). Chuo cha Mipango Dodoma (shahada ya kwanza ya mipango ya maendeleo ya wananchi) - Mwaka 2005 - 2008 (GPA ya 4.0)
(v). Chuo Huria cha Tanzania (Masters in Community Economic Development) 2012 - 2015.
Uzoefu:-
Polisi - 2003 - 2010 (upelelezi, usimamizi wa rasilimali watu, uongozi, usalama barabarani, mwenendo wa makosa ya jinai na kuzuia makosa kutendeka)
Afisa Takwimu Mkoa Kagera 2010 - 2017 (kutoa ushauri kwenye LGAs 8, uratibu wa sensa ya watu na makazi, kuratibu shughuli zote za utafiti, kutafsiri sera za serikali, uainishaji wa fursa navikwazo vya maendeleo)
Siasa:-
Mgombea ubunge jimbo la Buyungu kupitia CCM Mwaka 2010 (wa pili ktk kura za maoni ndani ya CCM),
Mgombea ubunge jimbo la Buyungu kupitia CCM Mwaka 2015 (wa pili kura za maoni ndani ya CCM),
Ujuzi:-
Kompyuta - MC Excel, word, PowerPoint, publisher, SPSS,
Familia:-
Nimeoa mke mmoja (Maria John Chibote)
Watoto wanne (Deborah, Deodatha, Kabende na Loreen)
Hobi:-
Mpira (Azam FC, Chelsea FC na Barcelona FC); Kuogerea,
The cv is limited to add any other information and correct to the best of my knowledge.
Chukuwa idea inayokufaa zingine weka kando. Lakini pia Bw. Kisandu acha tamaa ya madaraka unavuruga maendeleo ya upinzani nchini.