Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Kuna taarifa tumezipa kuwa Bw. Kisandu amepewa barua ya kujibu mashitaka kwa makosa ambayo mpaka sasa hayajajulikana, mmoja wa walimu wenzake amesema Deo kazidi utukutu acha tu wamlime barua labda atatulia.
Hata hivyo ofisi za halmashauri kuna tetesi kuwa hiyo barua huenda niya kupanda cheo au makosa ya kuandika mtandaoni mambo ambayo yana gusa watawala yaani mabosi wake.
Taarifa zaidi zinakuja.
Hata hivyo ofisi za halmashauri kuna tetesi kuwa hiyo barua huenda niya kupanda cheo au makosa ya kuandika mtandaoni mambo ambayo yana gusa watawala yaani mabosi wake.
Taarifa zaidi zinakuja.