Deodatus Balile: Afya ya Rais si jambo la siri wala siasa

Ninakumbuka Omari Bongo alipopata kiharusi ilifanywa siri.

Hii ni tabia ya nchi zinaongozwa chini ya the one man sho style. Ni mpaka Chama Kikuu cha Upinzani kilipopiga kelele kuhusu uwezo wa Rais kuongoza nch ndipo Omar Bongo alitoka hadharani akiwa anachechemea na fimbo.
 
Waseme alipo jpm.............kama akiwa anazindua shamba la miti tunaambiwa kwa nini akiumwa wasiseme?
 
Waseme alipo jpm.............kama akiwa anazindua shamba la miti tunaambiwa kwa nini akiumwa wasiseme?
Haa haa just haa haa
Walificha maiti yao MaCCM yakizani yanatukomoa upinzani , ikawaozea.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
MaCCM akili zao hazina akili.
 
Hatutaki mambo ya Mabeberu. Huku kwetu sio kwao. Mabo ya Ngoswe mwachie Ngoswe .

Rais wetu hawezi kuumwa. Ana ulinzi mzuri na pia yupo safi kabisa. Kwani Shida ipo wapi?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom