Deo Sanga akiri Rais Samia ni chaguo la Mungu mwenyewe

===
Mhe Deogratias Sanga Mbunge wa Njombe Kaskazini|Makambako amesema Rais Samia Suluhu ni mpango wa Mungu mwenyewe kupitia kwa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli,

<<<Hebu msikilize kwa makini>>>


View attachment 2013246
Hawa wanasiasa usiwasikilize! Nani ambaye hakuchaguliwa na Mungu hata hivyo? Tunawategemea watusaidie wao kutwa kucha kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. Mnakera
 
Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza ATCL kwa kupanua biashara ya usafiri na usafirishaji ya anga, hasa baada ya ATCL kuongeza safari zake za kibiashara kwa karibu mara tatu.

Rais Samia ameipongeza zaidi ATCL kwa kurejesha Safari za Kenya Nairobi tena kwa gharama ndogo ya KSh37,525 au $334 sawa na TZS 770, Two ways.

Lazima tufahanu kuwa mwendo huu wa kasi wa ATCL ni kabla ya ujio wa ndege mpya tano za kisasa zinazotarajiwa kuingia nchini ndani ya kipindi kifupi kijacho, hakika hakuna kama Rais Samia.



Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Mtu Kama Huyu Ni Mbunge...Mnategemea Nchi iendelee kwa watu style hii...
 
Back
Top Bottom