DEO Butihama (Syverian Masinde) anahujumu elimu Butihama

Mkira

JF-Expert Member
May 10, 2006
425
119
HUYU DEO NI mama wa ajabu yeye NI CHANZO,cha kushuka kwa elimu Wilaya ya butiama! Serikali inatenga FEDHA kwa ajili ya maendeleo ya shule, walimu wengi wakuu wa shule ILI kupata Mgao wa FEDHA ZA shule zao lazima watoe kitu kidogo kwa DEO- Syverian masinde, usipotoa laki tano! Huwezi pata Mgao wa shule yako!! Anachukua chake mapema!!!!! Huku watoto wetu wakishindwa masomo VIBAYA!!!?

Baada ya halmashauri kugawanywa Kati ya butiama na Musoma vijijini, walimu wakuu wanaombea huyo mama aende pande mwingine, NI mvutano hatakiwi, wengi wanaombea ahamishwe!

Hakika nchi yetu hii wengine wanapiga Kelele bungeni serikali kuu inatenga FEDHA kwa ajili ya elimu LAKINI DEO na wakurugenzi wanakuwa kikwazo!

DEO fisadi analindwa na Nani je Mgao unarudi wizarani au TAMISEMI,

tafadhali tuma watu wako wapate uhakika then Kama mnapenda saana ahamishiwe wizarani!!
just imagine capitation grants mil 200 zilizopaswa kutumika tangu march mwaka 2013 hazijatumika hadi Leo hii alikuwa anatafuta mbinu ya kuzitafuna!!!! Nendeni HATA kesho mkamuulize je hapo hajachangia kuua elimu yetu???
DEO wa aina hii kweli NI Mali ndani ya nchi au ???

Fedha ZA uhamisho ZA walimu zimeletwa hajalipa walimu je huyo NI DEO elimu au muuaji wa ELIMU?! Mwanamama HUYU NI katili walimu wakuu watafanya sherehe akihamiswa, walimu wa kawaida ndio kwake NI takataka, kama NI hivyo msihangaike elimu yetu itaendelea kuwa duni kwa dizaini ya MA-DEO wa aina hiyo na mkurugenzi wake!! Pinda, waziri TAMISEMI, elimu tupeni Majibu mapema!!!
 
Asante sana kwa taarifa yako ya kiuchunguzi , kwa vile umemchana hapa jf basi hata hiyo mbeleko yake itatoboka .
 
Nilimanisha AFISA ELIMU WA WILAYA YA BUTIAMA,

Ninataka kichwa kisomeke hivyo!!! Cha ajabu topic MOVED!!.....

Ninaomba hii ipelekwe katika jukwaa la ELIMU, tena ninasikia hawa Maafisa Elimu wamekuja kwenye big failure NOW wako DAR?

wadau mlioko huko kawaaulizeni hao Maafisa wamejipangaje?
 
Ninaomba hii ipelekwe katika jukwaa la ELIMU, tena ninasikia hawa Maafisa Elimu wamekuja kwenye big failure NOW wako DAR?

wadau mlioko huko kawaaulizeni hao Maafisa wamejipangaje?

Ninasikia DEO huyo kaachwa upende wa pili kwa hiyo Leo walimu wa WILAYA ya butiama wamesheherekea sana !!! Ninashangaa habari hii haijapewa umhimu humu ndani!! Elimu NI umhimu Jamani HUYU DEO NI tatizo!!
 
Wapo wengi wa aina hiyo,maDeo wengi ni mzigo mzigo mzigo mzigo
 
Ninasikia DEO huyo kaachwa upende wa pili kwa hiyo Leo walimu wa WILAYA ya butiama wamesheherekea sana !!! Ninashangaa habari hii haijapewa umhimu humu ndani!! Elimu NI umhimu Jamani HUYU DEO NI tatizo!![/QUOTE
Shida kwelikweli
 
Ninasikia DEO huyo kaachwa upende wa pili kwa hiyo Leo walimu wa WILAYA ya butiama wamesheherekea sana !!! Ninashangaa habari hii haijapewa umhimu humu ndani!! Elimu NI umhimu Jamani HUYU DEO NI tatizo!!
Ninasikia DEO huyo kaachwa upende wa pili kwa hiyo Leo walimu wa WILAYA ya butiama wamesheherekea sana !!! Ninashangaa habari hii haijapewa umhimu humu ndani!! Elimu NI umhimu Jamani HUYU DEO NI tatizo!!
Kazi ipo
 
Back
Top Bottom