Denzel and wifey, family balling on private yacht | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Denzel and wifey, family balling on private yacht

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Game Theory, Jul 2, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Is this you in 20 years?

  A little break from the divorces, backstabbing and bitterness in relationships today.

  Goes to show that "some" families do work even after 26 years.

  The $20 mil paychecks don't hurt either.:rolleyes:

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. kui

  kui JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,146
  Trophy Points: 280
  This's what am talkin about, the guy is hoooooooot na kisha humsikii akicheat on his wife. 26 yrs? wow! am sure kuna some misunderstanding but husikii vile. Huyu ndo mwanaume wa shoka!
   
 3. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Na mwanamke wa jembe....it takes 2 to tango.
   
 4. Power to the People

  Power to the People JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2009
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  na haya ndio maendeleo
   
 5. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Kui shosti...matatizo kwenye ndoa yapo sana ...lazima denzel na mkewe wana ups and down ila ndiyo hivyo wana solve and move on..kama ukiweka divorce is an option kwenye ndoa yako then you will divorce....i guess denzel na mkewe wako so devoted na ule msemo wa kanisani for better for worse wameutiliya mkazo...26 years siyo mchedho....hii ndiyo ndoa za wazazi wetu....watakorofishana lakini watoto hamuwezi kujua kabisa...they keep it to themselves kama nothing happened for really!.....
   
 6. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ha ha haaa... bogno kwetu maendeleo ni kujiwekea vijimwana kila kona... ukikuta tumekaa vijiweni/bar tunaishia kujisifu eti "yule nshananihii"........ we need a life!!
   
 7. M

  Maquiseone Member

  #7
  Jul 2, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Actually its very gud to save the mariage like that.
   
 8. B

  Bob K Member

  #8
  Jul 2, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lakini wakati mwingine lazima utam,bue kuwa talaka zingine mtu anazitaka mko katika matatizo yeywe suluhu yake ili kuupoza moyo wake ni kutafuta mwanaume mwingine sasa unategemea mimi nikikufumania nikuvumilie lazima nikutose tuuu na hapo mara nyingi ndipo mnapokosea maliza matatizo
   
 9. B

  Bob K Member

  #9
  Jul 2, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kui shosti...matatizo kwenye ndoa yapo sana ...lazima denzel na mkewe wana ups and down ila ndiyo hivyo wana solve and move on..kama ukiweka divorce is an option kwenye ndoa yako then you will divorce....i guess denzel na mkewe wako so devoted na ule msemo wa kanisani for better for worse wameutiliya mkazo...26 years siyo mchedho....hii ndiyo ndoa za wazazi wetu....watakorofishana lakini watoto hamuwezi kujua kabisa...they keep it to themselves kama nothing happened for really!..

  hongere zao,lakini unajua wanawake wengi matatzio wanajitakia wao wanona suluhuu ya mfarakano katika ndfoa ni kutafuta mwanaume mwingine wa kukuliwaza wakati wa matatzio sasa ngoja jamaa agundue akichangaya na mliyonayo we kwa heri tu yaaani usalimimiki hasa kwa wale wenye msimamo.
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  -Spectacular-
  -Beautiful-
  -Wonderful-
  family....
   
 11. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  This is wot we call 'bataz' sio kelele za viroba
   
 12. c

  changman JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Namuona mzee selemani ametulia tu kwenye mtumbwi wake jioni akipunga upepo huku akinywa maji ya madafu baada ya kazi nzito ya kuvua samaki.
   
Loading...