Naomba ufafanuzi kuhusu Dental implant

kibhopile

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
1,507
753
Habari zenu,

Jamani mimi ninaomba Msaada, kuna kitu kinaitwa dental implant hii ni Nasikia ni permanent solution ya teeth lost yaani ni zaidi ya dentures. so nauliza kwa hapa bongo ni hospitali zipi zinatoa huduma hiyo na cost yake inarange vipi.

Thanks.
 
Zipo clinics kadhaa DSM jaribu SD Dental clinic kwa Dr Shabir Mtaa wa Jamhuri kama uko Dsm. Jiandae na kila jino ni zaidi ya $200.
 
Nenda Muhimbili, wana vifaa vya kisasa kabisa na wana wataalam wa uhakika na ukibahatika utatibiwa na mtoto wa Mkuu JMK ambae yupo hapo Muhimbili na kwenye fani hiyo.
 
Hilo tatizo na shida nyingine za meno including complicated surgeries muone Dr. Amin pale Mazengo Upanga - Family Clinic same clinic Prof Matuja anapatikana. Ni pochi yako tu!
 
Kati ya madaktari wote wa meno na upasuaji wa fizi waliopo Dar es Salaam yupi ndio bora/zaidi?
 
Habari zenu, Jamani mimi ninaomba Msaada, kuna kitu kinaitwa dental implant hii ni Nasikia ni permanent solution ya teeth lost yaani ni zaidi ya dentures. so nauliza kwa hapa bongo ni hospitali zipi zinatoa huduma hiyo na cost yake inarange vipi. Thanx.

Ulienda clinic gani mrejesho
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom