Kiswahili cha neno density

Haha kiswahili sio powah mi haya maneno Ndo Kwanzaa nayaona Leo
Huyu ambaye huwa anatunga maneno ya kisayansi ya kiswahili ndiye anayefanya kiswahili kishindwe kuwa lugha ya kufundishia, unajitungia neno gumu na lisilozoeleka tena zaidi ya lile la kizungu?
 
Kuna haja ya elimu yetu kufundishwa kwa kutumia lugha moja kuanzia elimu ya awali mpaka elimu ya juu. Mtoto shule msingi anafundishiswa kuhusu kitu fulani akifika sekondari lugha inabadilika pengine unakuta anavhofundishwa ni kile kile alichofundishwa shule ya msingi, ila huku kinakuwa kigumu kukielewa sababu ya changamoto ya lugha anaishia kukariri.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom