Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonaeehkiswahili kigumu sana aisee.
Huyu ambaye huwa anatunga maneno ya kisayansi ya kiswahili ndiye anayefanya kiswahili kishindwe kuwa lugha ya kufundishia, unajitungia neno gumu na lisilozoeleka tena zaidi ya lile la kizungu?
Si ajabu hivyo vitu umevisoma shule ya msingi kwenye somo la SayansiHaha kiswahili sio powah mi haya maneno Ndo Kwanzaa nayaona Leo
Sijachanganya mazee uzito hupimwa kwa kutumia nini na tungamo kwa kutumia niniNadhani umechanganya kidogo, nitajaribu kusahihisha
Density - ujazonene
Weight- uzito
Mass -tungamo
Uzito (weight) SI unit ni spring balanceSijachanganya mazee uzito hupimwa kwa kutumia nini na tungamo kwa kutumia nini