Kiswahili cha neno density

Huyu ambaye huwa anatunga maneno ya kisayansi ya kiswahili ndiye anayefanya kiswahili kishindwe kuwa lugha ya kufundishia, unajitungia neno gumu na lisilozoeleka tena zaidi ya lile la kizungu?
 
Kweli mkuu.

Force kwa kiswahili ni Kani,concave na convex lens zinaitwa lenzi mbinuko na lenzi mbonyeo,Laptop ni kidadavuzi mpakato.
 
1.Kani eneo la hewa = Air resistance

2. Umbijani= chlorophil

3.Bubujiko mashapo =aina za miamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom