Density

Ailars David

Ailars David

Senior Member
Joined
Jul 6, 2017
Messages
115
Points
195
Ailars David

Ailars David

Senior Member
Joined Jul 6, 2017
115 195
Wakuu wa lugha naomben kiswahili cha neno Density!
 
Khalifavinnie

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Messages
2,080
Points
2,000
Khalifavinnie

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined May 19, 2017
2,080 2,000
Dakitari wa meno
 
Pablo Blanco

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
4,554
Points
2,000
Pablo Blanco

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
4,554 2,000
Kiswahili sahihi ni ONESHA toka kwenye mzizi ONA.Sema tu watu hua tunaigeuzageuza hii lugha yetu adhimu mkuu
hawa ndiyo watu watakaokupokea,hii sentesi ipo sahihi??? sahihi ni ndio/ndiyo
 
Emery Paper

Emery Paper

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2019
Messages
636
Points
1,000
Emery Paper

Emery Paper

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2019
636 1,000
kiswahili kigumu sana aisee.
 
avogadro

avogadro

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
3,489
Points
2,000
avogadro

avogadro

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
3,489 2,000
Huyu ambaye huwa anatunga maneno ya kisayansi ya kiswahili ndiye anayefanya kiswahili kishindwe kuwa lugha ya kufundishia, unajitungia neno gumu na lisilozoeleka tena zaidi ya lile la kizungu?
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
16,608
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
16,608 2,000
Huyu ambaye huwa anatunga maneno ya kisayansi ya kiswahili ndiye anayefanya kiswahili kishindwe kuwa lugha ya kufundishia, unajitungia neno gumu na lisilozoeleka tena zaidi ya lile la kizungu?
Kweli mkuu.

Force kwa kiswahili ni Kani,concave na convex lens zinaitwa lenzi mbinuko na lenzi mbonyeo,Laptop ni kidadavuzi mpakato.
 
avogadro

avogadro

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
3,489
Points
2,000
avogadro

avogadro

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
3,489 2,000
Kweli mkuu.

Force kwa kiswahili ni Kani,concave na convex lens zinaitwa lenzi mbinuko na lenzi mbonyeo,Laptop ni kidadavuzi mpakato.
1.Kani eneo la hewa = Air resistance

2. Umbijani= chlorophil

3.Bubujiko mashapo =aina za miamba
 

Forum statistics

Threads 1,335,209
Members 512,271
Posts 32,499,212
Top