Denmark, Norway and Iceland suspend use os AstraZeneca vaccine because of blood clots

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,953
4,326
Denmark, Norway and Iceland all temporarily suspend the use of AstraZeneca’s COVID-19 vaccine over concerns about patients developing post-shot blood clots, as the manufacturer and Europe’s medicine watchdog insist the vaccine is safe.

Denmark is first to announce its suspension, “following reports of serious cases of blood clots” among people who had received the vaccine, the country’s Health Authority says in a statement.

It stresses the move is precautionary, and that “it has not been determined, at the time being, that there is a link between the vaccine and the blood clots.”

As of March 9, 22 cases of blood clots have been reported among more than three million people vaccinated in the European Economic Area, the European Medicines Agency (EMA) says.

Austria announced on Monday that it had suspended the use of a batch of AstraZeneca vaccines after a 49-year-old nurse died of “severe blood coagulation problems” days after receiving a shot.

AP_21067482591394-640x400.jpg

A health worker prepares a dose of the AstraZeneca COVID-19 vaccine to be administered at a vaccination center set up in front of Rome’s Termini central station, Monday, March 8, 2021. (AP Photo/Alessandra Tarantino)
I'm proud to work at The Times of Israel

I’ll tell you the truth: Life here in Israel isn’t always easy. But it's full of beauty and meaning.

I'm proud to work at The Times of Israel alongside colleagues who pour their hearts into their work day in, day out, to capture the complexity of this extraordinary place.

I believe our reporting sets an important tone of honesty and decency that's essential to understand what's really happening in Israel. It takes a lot of time, commitment and hard work from our team to get this right.

Your support, through membership in The Times of Israel Community, enables us to continue our work. Would you join our Community today?

Thank you,
Sarah Tuttle Singer, New Media Editor

Source: The Times of Israel

My take: These vaccines are still in experimental stages and have been been given emergency approval ie for use only where this epidemic is of emergency magnitude and must be used with caution.
 
Hatari, watu waliochanjwa wanaganda damu.

Huko Kenya pia hali ni hiohio lakini viongozi wao hawataki kusimamisha chanjo.... Time will tell.
 
Hatari, watu waliochanjwa wanaganda damu.

Huko Kenya pia hali ni hiohio lakini viongozi wao hawataki kusimamisha chanjo.... Time will tell.
maybe hii habari hamkuisoa kwa undani. wanaopata hili tatizo ni wale wenye shida kubwa. yaani wana ugonjwa mwingine mkubwa ndani kabla ya kupata chanjo
 
Hatari, watu waliochanjwa wanaganda damu.

Huko Kenya pia hali ni hiohio lakini viongozi wao hawataki kusimamisha chanjo.... Time will tell.
Uongo uliotukuka,soma vizuri mada kuu maana imeelezea hakuna ushahidi wa kisayansi kuwa chanjo hii inasababisha blood clotting,wamechukua tahadhali tu
 
Huko kenya waliopata chanjo wamehamia chooni maana sio kwa kuharisha huko
Looh! Halafu wakasingizia sumu kuvu kwenye mahindi ya Uganda na Tanzania ndiyo inawafanya waharishe sana na wengine kupoteza maisha. Kumbe sababu ni AzastraZeneca vaccine. Wadenmark na wanorway wanafuatilia side effects wanazozipata wakenya na ndiyo maana wao wamesitisha kuchanja watu wao.
 
Uongo uliotukuka,soma vizuri mada kuu maana imeelezea hakuna ushahidi wa kisayansi kuwa chanjo hii inasababisha blood clotting,wamechukua tahadhali tu
Ingalikuwa hakuna ushahidi unadhani wangesitisha kuchanjana. Wanasubiri matokeo zaidi kutoka kwa waafrika wanaoendelea kuchanjwa bure kwenye nchi mbali mbali za Afrika. Ni bora na sisi Tanzania tukaendelea kuchukua caution za kusubiri matokeo ya jirani zetu wa Kenya. Sasa hivi wanapata dalili zinazofanana na za sumu kuvu.
 
Hatari, watu waliochanjwa wanaganda damu.

Huko Kenya pia hali ni hiohio lakini viongozi wao hawataki kusimamisha chanjo.... Time will tell.
Ni kweli na wazungu wako huko Kenya waki monitor side effects za hizo chanjo. Na inawezekana hao watu 29 ambao wamegundulika kuganda damu zao (thrombosis) wamepatikana Kenya kwa muda huu mfupi walioanza chanjo. Ni geresha tu kusema wametokea kwao.
Hii ni large clinical trial itakayosaidia kupata majibu ya uhakika wa short term and long term side effects na efficiency ya hizi chanjo zinazotumia morden genetically engineered DNA & RNA technology.
 
Ingalikuwa hakuna ushahidi unadhani wangesitisha kuchanjana. Wanasubiri matokeo zaidi kutoka kwa waafrika wanaoendelea kuchanjwa bure kwenye nchi mbali mbali za Afrika. Ni bora na sisi Tanzania tukaendelea kuchukua caution za kusubiri matokeo ya jirani zetu wa Kenya. Sasa hivi wanapata dalili zinazofanana na za sumu kuvu.
Noooo mkuu sio kweli unayoyaandika hapa with my respect kwako kwa kuangalia avator yako kuwa ni Dr.was expecting kulieleza hili swala kwa utaalamu zaidi kuliko kisiasa,President Kagame amekuwa vaccinated,President Ramaphosa,President wa Ghana etc etc sasa unataka kuniambia hawaku apply their mind kupata chanjo kwao na raia wao?and for your information nami nimechanjwa na nipo safi kabisa. Middle class tusaidiane kuongea ukweli pls
 
Uongo uliotukuka,soma vizuri mada kuu maana imeelezea hakuna ushahidi wa kisayansi kuwa chanjo hii inasababisha blood clotting,wamechukua tahadhali tu
Hakuna ushahidi wa kisayansi pia unaosema haisababishi clots
 
Ha
Uongo uliotukuka,soma vizuri mada kuu maana imeelezea hakuna ushahidi wa kisayansi kuwa chanjo hii inasababisha blood clotting,wamechukua tahadhali tu
Anasema.kuna cases zimekuwa reported hapo juu sasa uongo gani mnacheka na kujitekenya wenyewe
 
Hao marais wa Afrika waliochanjwa siyo kosa lao. Hawakupata ushauri wa watalaamu wao wa afya au kama waliupata waliupuuza na kufuata wanachotaka wazungu. Haya huko Afrika kusini walichanja na baadaye kugundua kuwa chanjo ya AstraZeneca haina effect ye yote kwa aina ya coronavirus iliyoko Afrika kusini. Wakairudisha na kupewa vaccine ya Johnson & Johnson ambayo inatumia teknolojia hiyo hiyo ya DNA adenovirus vector iliyo bebeshwa protein spike genomes za CoV-2 kama ilivyo kwa AstraZeneca vaccine, tofauti ni aina tu ya hiyo DNA virus vector. Ya AstraZeneca inatumia adenovirus wa mafua ya sokwe na ya Johnson & Johnson inatumia Adenovirus 26 (Ad26). Hivyo hakutegemewi kuwa na matokeo tofauti ya efficiency na side effects kati ya hizi chanjo mbili.

Aina ya CoV-2 anayepatikana South Africa ndiye anapatikana Afrika yote. Huko Kenya kumevumbuliwa hivi karibuni aina nyingine kabisa ya kirusi hiki ambayo ni kali zaidi.

Wewe kuwa umechanja na bado uko vizuri kabisa ndiyo kawaida. Si kila anayechanja anapata matatizo. Idadi ya wanaopata matatizo bado haijajulikana, bila shaka ni wachache lakini ni statiscally significant na bado haijajulikana kama ni acceptable. Long term side effects zake bado hazijajulikana. Umechanja sasa hivi uko OK lakini hatujui kama utakuwa mgumba (infertile, azospermic etc) au utakuja kuzaa watoto wenye congenital malformations etc etc. Ndiyo maana chanjo hizi hazipaswi kutolewa kwa akina mama wenye mimba na watoto chini ya umri wa miaka 18. The cardinal principle is that any woman in the reproductive age should be regarded pregnant until proved otherwise. Hata kama kipimo cha pregnancy test leo kikaonesha negative kesho anaweza akapata mimba. Hivyo chanjo hizi zinapaswa kutolewa tu kwa menapausal women for safety hadi pale long term side effects ya hizi dawa/ chanjo zitakapojulikana.
 
Dose ya Moderna vaccine ambayo ilishapewa emergency approva na FDA ya USA ni 2 doses 28 days apart. Baada ya kuchanja watu wengi dose ya kwanza inashangaza sasa hiyo dose ya pili (booster dose) ndiyo imeanza kufanyiwa phase 2 clinical trials. Hili limekaa sivyo. Iweje dawa/ cahanjo ilisha pitishwa hadi hatua ya clinical trials phase 3 sasa inarudishwa phase 2?

Hii ni ushahidi tosha chanjo hizi bado ziko kwenye majaribio
 
Kweli kabisa Dr.
 
Back
Top Bottom