Deni la taifa tunalodaiwa ndani na nje ya nchi

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Jana niliifuatilia sana usomwaji wa bajeti ya serikali ya ccm na siku zote Nalia na déni la taifa tunalodaiwa watanzania limeshafikia trilioni 100 sasa kwa mujibu wa waziri wa fedha
Sasa mipango ya kulilipa kama taifa sijui iko wapi na bado tunaendelea kukopa

Déni la taifa trilion 50.8
Déni la ndani trilion 42.8

Hiyo ni kwa mujibu wa waziri wa fedha
 
Wataalamu wa mahesabu, mnisaidie kwa deni hilo, mimi kama mtanzania nadaiwa shilingi ngapi?
 
hili deni linajumuisha na madai tuliyoshindwa ktk mahakama za kimataifa au ni mikopo pekee yake!?
 
Back
Top Bottom