Deni la Shigongo kumbe si kwamba anazungushwa kulipwa bali halilipiki

Pozzers

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
336
560
Deni la Shigongo kumbe si kwamba anazungushwa kulipwa bali halilipiki.

Fikiria tisheti moja aliiuza kwa elfu 95 mpaka Bibi Zakhia akamuuliza
''zilikuwa ni za kivita kwa maana ya bulletproof t.shirt?'' na kofia aliuza moja sh Elfu 50. Pia akaulizwa 'uliuza kofia au helmet?'

Hayo maswali yalimpa kiu na kuomba apatiwe maji.
 
lakini si walikubaliana wenyewe na mkataba wakasaini?
Tatizo la Shigongo ana tamaa mno ya kupata utajiri wa haraka hilo litamfanya awe anarudi nyuma kila akipiga hatua mbele.
Nakumbuka sakata lake na Masumbuko kebacho aliyemtapeli mil 600,ukisoma yale malalamiko yake utagundua ni uzembe wake, mtu unawezaje kukomba akaunt yote ya Benk...na kumpatia mtu hata angelikuwa mwaminifu kiasi gani, tamaa zinamponza Sana Shigongo.
 
Wapiga dili tu

Kama mnakumbuka katika kikao kimoja cha CCM nadhani mkutano mkuu Mkweree alipigia promosheni T-shirt moja aliyokuwa amevaa na akawauliza wajumbe kama ilikuwa inafaa nao wakaafiki; bila shaka ndio hizo T-shirts za elfu 95 kila moja ambazo Shigongo aliwauzia hawa magamba!! Kwa bei hii ya T-shirt lazima wahusika wengi walikuwa na mgao wao humo!!! Sasa tuone kama Ccm ya Ngosha itabariki uozo huo!!!
 
Kumbe? Kama ni hivyo, si sahihi kumlipa hata akitoa machozi ya damu.
 
lakini si walikubaliana wenyewe na mkataba wakasaini?
Tatizo la Shigongo ana tamaa mno ya kupata utajiri wa haraka hilo litamfanya awe anarudi nyuma kila akipiga hatua mbele.
Nakumbuka sakata lake na Masumbuko kebacho aliyemtapeli mil 600,ukisoma yale malalamiko yake utagundua ni uzembe wake, mtu unawezaje kukomba akaunt yote ya Benk...na kumpatia mtu hata angelikuwa mwaminifu kiasi gani, tamaa zinamponza Sana Shigongo.
Mashirika au vyama vingi duniani, kama unadai na uongozi ukabadilika sahau! Hivyo alitakiwa amalizane na CCM kabla ya JK hajang'atuka.
 
Kwanini hamkumuuliza kabla hajawauzia?

Lipeni deni la watu acheni usanii.

Deni la Shigongo kumbe si kwamba anazungushwa kulipwa bali halilipiki....fikiria T.shirt moja aliiuza kwa elfu 95 mpaka Bibi Zakhia akamuuliza ....Zilikuwa ni za kivita kw maana ya bulletproof t.shirt? Na kofia aliuza moja sh 50....pia akaulizwa ...uliuza kofia au Hellement? Hayo maswali yalimpa kiu na kuomba apatiwe maji
 
Ok huyu Shigongo ni mpigaji kama wapigaji wengine lakini kama walipokea na kuikubali proforma invoice yake pale mwanzoni naye akaagiza basi wamlipe kama walivyokubaliana, maafikiano ya bei hutangulia; sio halali kuyafanya baada ya kupokea mzigo na kuusambaza kwa walaji!! Something is phishing inside CCM!!
 
Kama mnakumbuka katika kikao kimoja cha CCM nadhani mkutano mkuu Mkweree alipigia promosheni T-shirt moja aliyokuwa amevaa na akawauliza wajumbe kama ilikuwa inafaa nao wakaafiki; bila shaka ndio hizo T-shirts za elfu 95 kila moja ambazo Shigongo aliwauzia hawa magamba!! Kwa bei hii ya T-shirt lazima wahusika wengi walikuwa na mgao wao humo!!! Sasa tuone kama Ccm ya Ngosha itabariki uozo huo!!!
Acha aisome #####!!!!!!
 
Similar Discussions

69 Reactions
Reply
Back
Top Bottom