deni la kila mtanzania ni Tsh 300,000. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

deni la kila mtanzania ni Tsh 300,000.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gango, Jun 18, 2011.

 1. gango

  gango Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama utachukua deni lote la Tanzania (trilion 11) ukigawa na idadi ya watu (milion 40) basi kwa makadilio KILA MTANZANIA ANADENI LA shilling 300,000. Hata mtoto aliye zaliwa leo.....CCM OYEEEEEEEE
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Oyeeee! Ngoja nikalipe la kwangu japo kwa mafungu. Ila linapaa!
   
 3. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kokotoa tena ni zaidi ya 300,000/= deni la taifa ni trilion 17.1 , ili tujiandae kulipa, maana nchi ilishauzwa
   
 4. gango

  gango Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  duuuuu.....bora mi sio mtanzania......!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Tshs. 17,100,000,000,000,/- divide by 42,000,000 Tanzanians equals to Tshs. 407,142.86 per head!
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Mie najitolea kulipa langu sasa hivi. Jee, wewe?
   
 7. gango

  gango Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  duuu kaka ............ulikuwa mtaalamu sasa hesabu ......wenzio tunaogopa hesabu za kugawanya...............
   
 8. N

  NCHABIRONDA JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Haaaa!!! Ama kweli humu ndani ya Jf kuna vichwa vinavyochemka kwelikweli. Nashangaa kuna baadhi ya waTZ bado wanaisapoti ccm hivi mnataka muambiwe nini ili muamini kama ccm nchi imewashinda? Au ndo 2seme sikio la kufa huwa halisikii dawa!!
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mimi langu atanilipia faizafoxy
   
Loading...