radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,427
- 32,193
Deni la Kenya kwa China limepanda kufikia TZS 14.5 trilioni kwa miezi 12 kufikia Juni 2019, kufuatia kuchukua mkopo mpya wa TZS 2.2 trilioni katika kipindi hicho kwa ajili ya SGR. China ndiyo inaongoza kwa kuwa mkopeshaji mkubwa wa Kenya (bilateral lender), ikifuatiwa na Japan.