Deni la abunuwas | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Deni la abunuwas

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Natty Bongoman, Jul 18, 2009.

 1. Natty Bongoman

  Natty Bongoman JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  MDAI: "Unajua lile deni nnokudai leo limefikisha mwaka?"
  ABUNUWAS: "Basi tuliimbie HAPPY BIRTHDAY"
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Imekaa fresh kishenzi!
  Lakini kibongo, huo ni utani wa ngumi!
   
 3. BUSARA6

  BUSARA6 JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2009
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 340
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Abunuwasi huyu huyu alikwenda kuazima sufuria kwa jirani. Siku iliyofuata akairejesha na sufuria ndogo ndani yake. Jirani akamuuliza Abunuasi mbona umeleta sufuria mbili kwa pamoja? Abunuwasi akamjibu jirani ya kwamba ile sufuria niliyoazima kwako ilikuwa na mimba pevu na sasa imezaa ilipokuwa kwangu. Jirani akafurahi sana.
  Wiki zikapita Abunuasi akaenda tena kuazima sufuria kwa jirani na kukaa nayo kwa muda mrefu mpaka jirani ikabidi aende kuulizia sufuria yake na kuambiwa imeshakufa kitambo.
  Jirani: siamini sufuria haiwezi kufa
  Abunuasi: kwa nini uliamini nilipokwambia imezaa?
   
 4. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahahaaaa.abunuwasi heshi vi2ko.
   
Loading...