Dena Amsi na Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,178
14,349
Mkuu Baba V
Napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha kuwa baada ya majadiliano ya muda mrefu na kupitia file la kila mmoja baina yangu na Dena Amsi na kupitia kifungu kwa kifungu na mabishano na majadiliano ya muda mrefu tukiwa strong room, hatimaye muafaka umefikiwa
Ndoa hii imerudi kama zamani na kwa taarifa ya wana CC wote Mr Rocky na Dena Amsi wamerudiana rasmi na ndoa hii naamini kwa sasa itakuwa imara kuliko ndoa zote za CC
Tumefikia maelewano haya baada ya kujadiliana na kuonekana kuwa wote tulikuwa tunahangaika na ndo maana tumeamua kuzika tofauti zetu na kuamua kuwa kitu kimoja
Kwa taarifa hii ndoa ya mashaka iliyokuwepo kati yangu na Mamndenyi imevunjika rasmi na Mamndenyi yuko huru kwenda kwa mtu yoyote anayemtaka
Taarifa hii iende kwa Erickb52, Bishanga, watu8, Blaki Womani, Preta, binamu zangu Passion Lady, Paloma, Madame B charming lady , mwalimu wangu gfsonwin, snowhite, sweetlady, kaka yangu SnowBall na HorsePower, AshaDii, Filipo, marejesho, stevoh, manoah, Slave, Mamndenyi, na wadau wote wa CC
Dena Amsi karibu sana kwenye himaya ya Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:

Mr Rocky, Kwa hiyo kumbe ulikuwa umeshavuta nyumba ndogo yenye jina la Mamndenyi? Pole Mamndenyi. Nafikiri hii iwe ni angalizo kwa wale wote wenye tabia za kumendea ndoa za watu kwamba wenyewe wakipatana kuna hatari ya kupigwa chini!
 
Mkuu HorsePower uzalendo ulinishinda nikatafuta nyumba ndogo Mamndenyi kwa ajili ya kupitisha siku ila hata yeye Mamndenyi alijijua tuu kuwa anaiba na kama ni uhusiano uko ICU unasubiri kuondoka siku yoyote
 
Last edited by a moderator:
na amani nitaipata sasa maana hukuisha

Mkuu Slave mpaka kaka yako ulikuwa humuamini aise
Dah mbaya sana hii

Kwa nini nisijiulize, tuko wangapi? Maana nalazimikia kuamini kuwa Mamndenyi naye alikuwa na nyumba ndogo yake somewhere else!!!

Ndo hapo mkuu HorsePower na wengine wanashangilia wakisikia umeachana maana anajua atapata nafasi bila kujua ni nini kilichowafanya waachane
Ni ngumu sana mkuu

ondoa shaka nipo nawe bega kwa bega.
Asante sana mkuu Slave ila na wewe mpende mkeo Evelyn Salt bana
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom