demu wangu ana mshkaji mwingine afu bado anadai ananipenda sana mimi hii imekaaje wadau?!?

cantonna

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,120
439
daa!kiukweli mwenyew namkubali sana huy dogo kwa mambo yak ya kitandan anayawez,utata alipoend tu chuo alimpat inservise wa kumgharamia mahitaj madogomadog na alinambia kuw ana mtu lakin ananipend san mm na kiukwel bado ananijali vp niwe nay au.....?
 
ndoo hapooo nnapopaogopa ila roho inauma balaa!!

Labda ameenda kwa mganga na kuwafanya mazezeta wote wawili, inakuaje mchangie demu mmoja watu wawili na bado mpo tu? huenda hampo wawili peke yenu bali ana msururu wa mijana dume kama msafara wa siafu .....!
 
daa!kiukweli mwenyew namkubali sana huy dogo kwa mambo yak ya kitandan anayawez,utata alipoend tu chuo alimpat inservise wa kumgharamia mahitaj madogomadog na alinambia kuw ana mtu lakin ananipend san mm na kiukwel bado ananijali vp niwe nay au.....?

Ila sio mke wa kumuoa!
!!other things remain constant!!
 
Piga tu baba si kasema anakupenda

Ama KWELI fisi hufia kwenye mifupa,ww jamaa unatatzo kwenye reasoning IQ ndogo mwanamke anakwambia maneno kama hayo unamwamin krahc unajua amewakubali wangap?huyo mpenda hela atamegwa na weng,unaijua afya ya huyo inservice anayemhudumia utakuta anakula vidonge(MWANAUME MWENZANGU AMKA)Samahan nmetumia lugha kali!
 
Yuko honest
hajakudanganya kuwa hana mtu,
na kakuambia anakupenda.
Huna sababu ya kumwacha
 
daa!kiukweli mwenyew namkubali sana huy dogo kwa mambo yak ya kitandan anayawez,utata alipoend tu chuo alimpat inservise wa kumgharamia mahitaj madogomadog na alinambia kuw ana mtu lakin ananipend san mm na kiukwel bado ananijali vp niwe nay au.....?

Mhhhh!!!!
 
Huoni kwamba pamoja na kuwa na mtu mwingine bado yuo na wewe? Anakupenda sana huyu, au unataka hadi akulambe miguu ndiyo uamini kuwa anakupenda sana?
 
^^
Post yako ya Punyeto imetoa jibu hapa kuwa huyo demu hakukuacha kwa sababu ya pesa bali umepoteza mvuto.
Siku ukipiga punyeto anakupotezea Ukiacha anakupenda.
Amua mwenyewe.
^^
 
Back
Top Bottom