Demu wangu akilewa tu,ananilazimisha! Nisaidieni cha kufanya!

..sielewi hata kidogo au ndo kusema we mzee wa T.A.K.O tatu kwisha jeuri yako, wamwacha mwenzio pekee yake tena bila msaada juu ya bati akitafuta chanel?, angallia Bro tushaingia mfumo wa digitally nakwambia huyo akimpata mng'amuaji mwenyewe utakoma , kisha utujie tena humu barazani utuulize sasa hata akimaliza nusu mzinga tena wine ya Kiscotish hata jicho hanirembulii..piga zoezi kaka siku zote hawa viumbe wameumbwa kusema asante..natumai umenisoma mkuu
 
kama ni mtu wako na una malengo nae mwambie ukweli kama anakukera, lakini dawa ni kumtimizia akitakacho pia huwa unaenda nae kupiga masanga nawe ukiwa na hamu ya kuDO la sivyo utaishia kulalamika tu milele!
 
Yani kinywaji chake ni waini ila ikimkolea ni balaa! Bora umkimbie! Mpaka namwogopa! Kama hajakunywa aaa! Hana hamu! Nifanyeje? Niokoeni jamani!

hakikisha sehemu yoyote anapokunywa upo naye otherwise vijana watakusaidia!
 
Ni-PM nikutumie dawa ya kisambaa inaitwa mshushu wa mbuzi(kiboko ya paulina),patawaka moto hapo.
 
Mhhh, hilo ni jambo hatari, imagine kama ndo kalewa na wewe haupo eneo la karibu, hakuna hatari ya kumlazimisha yeyote aliye karibu naye ampe raha? Am just trying to think beyond the box!
 
Kijana unaonekana wewe unamatatizo. Yaani demu anakutishia kwenye mambo yetu. Sikiliza acha uzembe piga mazoezi ya skwashi wiki moja, halafu usiwe mzembe kula. unatakiwa ule chakula cha kutosha ili uwe na nguvu.
Acha kulia lia. Kwanza huyo mzuri sana mimi ninamtafuta wa hivyo maana mimi goli moja la kwanza yeye magoli ma wili.
PIGA MAZOEZI MAMBO YA KUONGEA NA DEMU ACHANA NAO ATAKUONA ZAIFU.
 
Yani kinywaji chake ni waini ila ikimkolea ni balaa! Bora umkimbie! Mpaka namwogopa! Kama hajakunywa aaa! Hana hamu! Nifanyeje? Niokoeni jamani!

Sasa tatizo kulewa au kuitaka na wewe nguvu hizo za kumpa huna? Mpenzi wako raha anataka akupe wewe mpenzi wake pia unataka Masada hapo? Sema humuwezi speed yako ndogo sijui umechukua fuso wakati speed yako ni ya bajaji....
 
Si ndio fresh sasa, unaligeuza ghetto kama wine wine cellar

Mwambie asiwe anakunywa wine na watu strangers maana ni balaa
 
Huyo ndiyo wa kumuweka ndani kabisa ili akumalizie hamu yako kila siku. Wenzio tunazitafuta fursa hizo wewe unaona kero.
 
Yani kinywaji chake ni waini ila ikimkolea ni balaa! Bora umkimbie! Mpaka namwogopa! Kama hajakunywa aaa! Hana hamu! Nifanyeje? Niokoeni jamani!

Tatizo Umeshalijtua, Sio lazima anywe hizo wine zake hivyo mshauri aachane nazo maana yake kwa upande wake huwa zinaamia chini. Wa hivyo akilewa huwa anakosa self control hivyo yoyote aliye karibu yake anakula zigo kiulaini.
 
Wasiwasi wangu ni kuwa akipata hicho kinywaji chake favorite, na wewe ukawa haupo, anamlazimishaga naniii? Stuka!
 
Si ndio fresh sasa, unaligeuza ghetto kama wine wine cellar

Mwambie asiwe anakunywa wine na watu strangers maana ni balaa

Hii ni kweli! Kuna siku alikuwa anakunywa na majamaa fulani mi siku hiyo nilikuwa nimekorofishana nae kidogo, kama sio dada yake kuwa kaqibu jamaa mmoja almanusura ambebe! Maana alikunywa nyingi sana kwa hasira akakata network! Bahati nzuri sista wake akampandishia na akili zikarudi na jamaa akakimbia nikapigiwa cm nikamfata. Kilichofata sielezi!
 
Huyo mbona dawa yake ndogo akianza we azima nguvu ya mzungu kidonge kimoja tu atajuta siunajua mambo yetu yale
 
Si wewe mwenyewe umemtafuta mwendawazimu, kaa naye tu.

Hivi wewe aklini kwako mtu amabye ananua ujinga(ulevi) ana akili?
 
Sipati picha akilewa wakati wewe haupo. Nahisi kama masela wanaweza kujisevia kama hawataki vile!
 
Back
Top Bottom