Demu wako akiwa kwenye kioo we piga simu utafute dili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Demu wako akiwa kwenye kioo we piga simu utafute dili

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Saint Ivuga, Mar 16, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,528
  Likes Received: 14,919
  Trophy Points: 280
  Hela hazilali so ukilala ni wewe tu na zina kazi ya kutengenezwa na hazikungoji uamke mkuu.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Hapana get you!!

  Ivuga siku zote najua unamke kumbe bado?? Unaita vimwana wako @Demu
   
 3. LD

  LD JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,016
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Duh Ivuga umeniacha!!
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,089
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  Ivunga unajua wanaume wa Ki Jerumany
  ndo wanao spent masaa na masaa kwenye kioo
  Mpaka msichana anapatwa na hasira..
   
Loading...