Demu wa Kimarangu noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Demu wa Kimarangu noma

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kifulambute, Aug 16, 2011.

 1. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kweli hawa mademu wa kimarangu ni soo wanapenda sana kuomba omba. ukimtokea tu siku hiyo hiyo anakubali then kesho yake tu atasikia.....jamani kuna ndg yangu ana shida ya elfu.xxxx naomba unisaidie..crap.
   
 2. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sio wote labda wako uliyekutana naye alikuwa na tatizo tu,lakini siyo kwel
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Crap ni ulichoandika hapa!!

  Tabia ya mtu ni ya mtu na sio ya kabila...kwahiyo acha na ulimbukeni wa ukabila.Wanawakekwa wanawake kibao wanaomba omba huko mjini wakati hata Marangu hawajahi kupasikia alafu unaleta tuhuma za kijinga hapa.
  Si ungesema tu baadhi ya wadada wa siku hizi?!Eti kisa Mmarangu...muone vile!!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,390
  Likes Received: 22,272
  Trophy Points: 280
  shimboni shafo
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Wapenda vya dezo eeeh, kaa ukijua starehe gharama and ur sredi is the most crapiest. Wapo wengi tu kwanini kwanini uhangaike na wamarangu??Acha ukabila bana!!
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Mtoa mada jibu lako hili!
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Umetufundisha nini?
   
 8. b

  boybsema Senior Member

  #8
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  lyiambieeee
   
 9. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mkuu huwa unauliza kwanza kabila kabla ya kutokea? Miaka 50 ya uhuru bado tuna watu wa aina yako.Kazi ipo....
   
 10. O

  Olive Member

  #10
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Lakofoo
   
 11. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #11
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Mkuu unachemka sana kumtumia mtu mmoja ku judge kabila zima...huhitaji kwenda shule kujua hili.
   
 12. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135