Demu wa-future lakini anapenda kuomba ela. USHAURI plz.

Kuna mawili unaweza ukawa umeombwa mara mbili tu tena kwa mambo ya maana lakini kwa sababu wewe ni mbahili na mchoyo unaanza kuumwa roho, kama unampenda kweli kaa naye muongee umweleza maisha yalivyo na kipato chako mpange mtafanyaje, mapenzi kusaidiana bwana unashidwa kumsaidia leo kesho na wewe ukiwa na shida atakutosa.

ndiyo ni kusaidiana sema tatizo wadada wengi ni wagumu sana kutoa
 
Mimi nashangaa sana......... Mpenzi wako ana katabia flani, wewe hukapendi badala ya kutafuta njia nzuri ya kumuelewesha kuwa wewe huipendi hiyo tabia, unakimbilia huku jf..... Funguka mdogo wangu, mueleweshe kinagaubaga bila ugomvi, akikuacha kwa sababu ya kumueleza ukweli, mshukuru Mungu kwani atakuwa hakufai. Communication is very essential kwenye mahusiana, sio unaumia kimoyo moyo tuu.
 
Hivi ni lazima mwanamke autumie mwili wake kama kitega uchumi, kwani akipunguza tamaa na kutafuta mwenyewe pesa kutakuwa na ubaya wowote, kuliko tabia hii ya kuomba omba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom