demu wa brother angu anataka nile vya kaka, this weekend...should i escape?

mara boss , mara broo, sasa sijui tukamate lipi hapa..halafu wewe si yule jamaa uliyekuja humu na thread ya kupendwa na demu wa kenya?? napata wasiwasi kwakweli, basi utakuwa bonge la handsome..anyway navyooona mimi kama ni boss huo ni mtego ukijaribu imekula kwako, unafungashiwa safari ya nyumbani..haha we kodolea mimacho kazi za watu..unafikiri vinapatikana kirahisi ee..tafuta vyako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom