WA KISHUA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 365
- 130
Mambo zenu wadau, natumaini mpo poa, mimi napenda kuuliza, kuna demu mmoja ninamawasiliano nae, namba yake nilipewa na mshikaji wangu, katika kuchati yule demu akawa anajua kwamba mtu aliyenipa namba ni huyo jamaa yangu, basi katika kuchati kwa njia ya simu, akaniambia kwamba anaumwa kwaiyo anataka niende nikamuone kwao upanga, ila akaniambia nisisahau zawadi ya mgonjwa, nikamwambia hilo kwangu haina shida najua kwamba mgonjwa ukienda kmtembelea unaweza ukamchukulia hata chungwa au chochote kile, basi mtu mzima nikajitutumua nikamnunulia juice ya azam ya buku tano kisha nikaenda kumit nae, hakuwa anaumwa kivile sema nikajua ni style za mademu wa mjini hata mafua atakwambia anauimwa, baada ya kumit nae 2katafuta chimbo a.k.a Bar 2kakaa 2kaongea mawili matatu, mtoto akaaga anataka kurudi home kwani giza lilikuwa limeshaingia, mimi nikamruhusu na kumpatia zawadi yake, 2kaagana kila mtu akarudi kwake, kumbuka demu mwenyewe ni miaka 20, baada ya mimi kufika home akanitumia text kwamba nashukuru kwa zawadi, movie ndipo ilipoanza, nikaenda kuoga ile narudi nakuta meseji ya kizinga cha vocha ya tigo anasema yeye hawezi kutoka nje ivyo anaomba nimtumie kama buku, mimi kwa maseke(Akili) nikaona hapana haiwezekani nikachunwa kirahisi, nikamwambia sina, akajibu poa, kesho yake 2kaendelea kutafutana, ila dizain naona ni mtu mwenye mambo mengi kwani unakuta tunachati muda mrefu baadae anauchuna kabisa mpaka mimi nimshitue, nikaona sio ishu na mimi ngoja nimletee pozi, bahati nzuri akawa ananishitua pale anapooana nakaa kimya, kusema ukweli mimi plan yangu nilikuwa namtengenezea mazingira awe mpenzi wangu , leo sasa ndio katoa kali , nimechati nae kama meseji mbili tatu hivi, akanitumia meseji anasema kwamba bwana wake amepata ajali, mimi nikamjibu kwani ananihusu nini huyo bwana wako mpaka uniambie habari zake, akareply kwmb naona umechukia, mimi nikamwambia hapana labda umeninukuu vibaya, akasema poa, nikamuaga kwamba nitamcheki bdae, akajibu poa., alafu kuna siku weekend moja aliniambia kwamba anataka nimtoe lakni hana company, sasa naomba msaada huyu demu ananitega au? Msaada wakubwa zangu nawasilisha