Demu pasua kichwa

WA KISHUA

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
365
130
Mambo zenu wadau, natumaini mpo poa, mimi napenda kuuliza, kuna demu mmoja ninamawasiliano nae, namba yake nilipewa na mshikaji wangu, katika kuchati yule demu akawa anajua kwamba mtu aliyenipa namba ni huyo jamaa yangu, basi katika kuchati kwa njia ya simu, akaniambia kwamba anaumwa kwaiyo anataka niende nikamuone kwao upanga, ila akaniambia nisisahau zawadi ya mgonjwa, nikamwambia hilo kwangu haina shida najua kwamba mgonjwa ukienda kmtembelea unaweza ukamchukulia hata chungwa au chochote kile, basi mtu mzima nikajitutumua nikamnunulia juice ya azam ya buku tano kisha nikaenda kumit nae, hakuwa anaumwa kivile sema nikajua ni style za mademu wa mjini hata mafua atakwambia anauimwa, baada ya kumit nae 2katafuta chimbo a.k.a Bar 2kakaa 2kaongea mawili matatu, mtoto akaaga anataka kurudi home kwani giza lilikuwa limeshaingia, mimi nikamruhusu na kumpatia zawadi yake, 2kaagana kila mtu akarudi kwake, kumbuka demu mwenyewe ni miaka 20, baada ya mimi kufika home akanitumia text kwamba nashukuru kwa zawadi, movie ndipo ilipoanza, nikaenda kuoga ile narudi nakuta meseji ya kizinga cha vocha ya tigo anasema yeye hawezi kutoka nje ivyo anaomba nimtumie kama buku, mimi kwa maseke(Akili) nikaona hapana haiwezekani nikachunwa kirahisi, nikamwambia sina, akajibu poa, kesho yake 2kaendelea kutafutana, ila dizain naona ni mtu mwenye mambo mengi kwani unakuta tunachati muda mrefu baadae anauchuna kabisa mpaka mimi nimshitue, nikaona sio ishu na mimi ngoja nimletee pozi, bahati nzuri akawa ananishitua pale anapooana nakaa kimya, kusema ukweli mimi plan yangu nilikuwa namtengenezea mazingira awe mpenzi wangu , leo sasa ndio katoa kali , nimechati nae kama meseji mbili tatu hivi, akanitumia meseji anasema kwamba bwana wake amepata ajali, mimi nikamjibu kwani ananihusu nini huyo bwana wako mpaka uniambie habari zake, akareply kwmb naona umechukia, mimi nikamwambia hapana labda umeninukuu vibaya, akasema poa, nikamuaga kwamba nitamcheki bdae, akajibu poa., alafu kuna siku weekend moja aliniambia kwamba anataka nimtoe lakni hana company, sasa naomba msaada huyu demu ananitega au? Msaada wakubwa zangu nawasilisha
 
upasua kichwa wake uko wapi hapo?

maana nikisoma maelezo yako sijaona mahali ulimtongoza akakukubali....

au kumnunulia kijuisi cha azam imekua nongwa?

siku nyingine kama unamfukuzia mwanamke, tanganza nia yako mapema....wewe unaenda kuazima jamvi halafu unaanza stori ukikuta jamvi lishaazimwa si ndo mwanzo wa kupoteza muda huo?

so far huyo binti hana upasua kichwa wowote, jichunguze mwenyewe...

anyway upo form ngapi?
 
Wkishuaaaa na wewe! Kukwambia bwana wake kapata ajali ni INVITATITON TO TREATY!!!!!!!! Ameona unmuotesha sugu za vidole na huna la maana unalolisema! Ikabidi akuwashie INDICATOR! Bado chengaaa tupu! Mhhhhhhhh!

Embu mtongoze kikubwa mwenzio wewe na we! Mambo yetu ya kishua huayajui tuuuu!
 
Hayupo kama unavyo fikiria mkuu. Wewe unaelewaje binti akikuomba company, vocha au akikuambi ukamtembelee kisa anaumwa?
 
Mwenzangu ubahili haufai kwenye mapenzi,viji senti ulivyotoa hata elfu 10 haijafika..
 
sawa lakini what i know ni kwamba Mwanamke ukimzoesha hela huwa anakuona ndio Buzi, sasa mimi nilitaka nianze kumjengea mazingira mazuri ya kutoweza kunipiga Mizinga jamani wadau naomba muelewe na kingine nahisi kuna chembechembe fulani za kumpenda huyu mwanamke ndio maana nikafanya ivyo LARA1 nimekupata wangu, ila cunajua cc washua 2natongoza kwa level za A-Listers kama Weezy vle anavyomuapproach demu c o umtongoze demu kishamba bhana , nina experience ya kutosha kuhusu hawa Watoto Wakike. nashukuru Kwa ushauri wenu ila Nitamzimia Fegi cz mm cwez kuwekwa 2nd Hand bahna, mm MSHUA jamani. nitawajuza yatakayojiri. thanx Alot
 
Last edited by a moderator:
Hiyo AZAM juice ya buku tano ikoje?
Hebu acha ujinga, yaani hata buku ya vocha inakuumiza kichwa?

Dah afadhali umuulize aielezee vizuri...labda AZAM wana brand mpya spesheli kwa marafiki wa chat wagonjwa.
Hawa ndo wakioa wanatelekeza familia hawatoi hela ya matumizi. Chezea familia wewe! Utatoa elfu hamsini acbui unarudi jioni unaambiwa hiki hakipo na kile pia. Au ww mwanafunzi??????????
 
Wa Kishua, wewe ni mpare wa kitongoji kipi?. Ukishamaliza kula ugali na picha ya samaki nitafute nikupe mikakati.
 
Wewe wa Kishua mbona sikuelewi, si Umesema wewe una kismati kwamba hukosi mwanamke unayemtaka na ukimaliza unamtema kama BG . sasa imekuwaje huyu anakuwa pasua kichwa kwako? Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu.
 
Mambo zenu wadau, natumaini mpo poa, mimi napenda kuuliza, kuna demu mmoja ninamawasiliano nae, namba yake nilipewa na mshikaji wangu, katika kuchati yule demu akawa anajua kwamba mtu aliyenipa namba ni huyo jamaa yangu, basi katika kuchati kwa njia ya simu, akaniambia kwamba anaumwa kwaiyo anataka niende nikamuone kwao upanga, ila akaniambia nisisahau zawadi ya mgonjwa, nikamwambia hilo kwangu haina shida najua kwamba mgonjwa ukienda kmtembelea unaweza ukamchukulia hata chungwa au chochote kile, basi mtu mzima nikajitutumua nikamnunulia juice ya azam ya buku tano kisha nikaenda kumit nae, hakuwa anaumwa kivile sema nikajua ni style za mademu wa mjini hata mafua atakwambia anauimwa, baada ya kumit nae 2katafuta chimbo a.k.a Bar 2kakaa 2kaongea mawili matatu, mtoto akaaga anataka kurudi home kwani giza lilikuwa limeshaingia, mimi nikamruhusu na kumpatia zawadi yake, 2kaagana kila mtu akarudi kwake, kumbuka demu mwenyewe ni miaka 20, baada ya mimi kufika home akanitumia text kwamba nashukuru kwa zawadi, movie ndipo ilipoanza, nikaenda kuoga ile narudi nakuta meseji ya kizinga cha vocha ya tigo anasema yeye hawezi kutoka nje ivyo anaomba nimtumie kama buku, mimi kwa maseke(Akili) nikaona hapana haiwezekani nikachunwa kirahisi, nikamwambia sina, akajibu poa, kesho yake 2kaendelea kutafutana, ila dizain naona ni mtu mwenye mambo mengi kwani unakuta tunachati muda mrefu baadae anauchuna kabisa mpaka mimi nimshitue, nikaona sio ishu na mimi ngoja nimletee pozi, bahati nzuri akawa ananishitua pale anapooana nakaa kimya, kusema ukweli mimi plan yangu nilikuwa namtengenezea mazingira awe mpenzi wangu , leo sasa ndio katoa kali , nimechati nae kama meseji mbili tatu hivi, akanitumia meseji anasema kwamba bwana wake amepata ajali, mimi nikamjibu kwani ananihusu nini huyo bwana wako mpaka uniambie habari zake, akareply kwmb naona umechukia, mimi nikamwambia hapana labda umeninukuu vibaya, akasema poa, nikamuaga kwamba nitamcheki bdae, akajibu poa., alafu kuna siku weekend moja aliniambia kwamba anataka nimtoe lakni hana company, sasa naomba msaada huyu demu ananitega au? Msaada wakubwa zangu nawasilisha
Na wewe pia pasua kichwa, unahitaji msaada zaidi ya demu wa miaka 20
 
Naomba Nieleweke Hivi, Cjaja hapa Jamvini Kuja Kuleta Story Za Uongo Au Kufurahisha GENGE, Nimekuja Hapa Kwasababu Najua Kuna Watu Wazima Ambao WanaAkili Timamu za kuweza kunipa Msaada Wa Ushauri Na Mawazo pia, Na Kila Ninachoandika ni Historia yangu ya Ukweli ivyo Nakuwa nahitaji Msaada Kutoka Kwenu Nyie WanaJamvi , Sasa Unakuta Mtu Anakukashifu badala ya kukupa ushauri ,.iyo Sio Tabia nzuri, Nikiwa kama Kijana Mwenzenu Nahitaji kushauriwa na kukosolewa Pale Ninapokuwa Nimekosea, Sio Matusi na Kukashfu. MNIELEWE IVYO MIMI NI TU MSTAARABU SANA NA NINAYEPENDA KUTHAMINI MICHANGO YA WATU MBALIMBALI KATIKA JAMII YE2. nAWASILISHA
 
Jamani mjipange starehe gharama, bakhresa kashatoa juice za lita 2 kwani au umeinunulia movenpic hiyo juice,
cha mtu.........
 
Shit!!!!!!!! kumbe ndio umejiunga leo, masikini mawazo yangu, hivi unajua ukifeli form two unarudia kuanzia mwakani?
 
Naomba Nieleweke Hivi, Cjaja hapa Jamvini Kuja Kuleta Story Za Uongo Au Kufurahisha GENGE, Nimekuja Hapa Kwasababu Najua Kuna Watu Wazima Ambao WanaAkili Timamu za kuweza kunipa Msaada Wa Ushauri Na Mawazo pia, Na Kila Ninachoandika ni Historia yangu ya Ukweli ivyo Nakuwa nahitaji Msaada Kutoka Kwenu Nyie WanaJamvi , Sasa Unakuta Mtu Anakukashifu badala ya kukupa ushauri ,.iyo Sio Tabia nzuri, Nikiwa kama Kijana Mwenzenu Nahitaji kushauriwa na kukosolewa Pale Ninapokuwa Nimekosea, Sio Matusi na Kukashfu. MNIELEWE IVYO MIMI NI TU MSTAARABU SANA NA NINAYEPENDA KUTHAMINI MICHANGO YA WATU MBALIMBALI KATIKA JAMII YE2. nAWASILISHA

"Ukisikia lele jua kuna ngoma", mada haina mshiko, inaishia form four
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom