KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Demu alinicheat nikamdaka tukaongea yakaisha!!sasa juzi nimemubamba na sms ya lijamaa nikamwambia umwambie mimi nina bf wangu hivyo sitaki usumbufu kutumatu kwakuwa nilikuwa nimemlazimisha akaituma akijua jamaa atakaa kimya jamaa akamwendea hewani akamwambi vilevile nikamwambia lete niongee naye!!Nikasalimia naye nikamwambia ndugu najua wewe hunakosa kosa ni huyu mwanamke kutwambia kuwa anajamaa hivyo wewe sikulaumu ila kwaleo nakujulisha huyu demu ninaye niwangu jamaa akasema kwa uchungu i was doing some work but now i cant do anything!!Nikamuuliza kwanini akasema achatu nitaongea naye nikamwambia ila mimi nimeishakupa taarifa!!Sasa demu kumwambia akasema hapana alikuwa ananitaka nikamwambia poa nikakamua lala salama lakini demu ajui mimi ndo bye anapiga simu mimi napokea kawaida ila nddo nimemumwaga!!