demu nimemtosa.....lakini!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,574
8,591
Demu alinicheat nikamdaka tukaongea yakaisha!!sasa juzi nimemubamba na sms ya lijamaa nikamwambia umwambie mimi nina bf wangu hivyo sitaki usumbufu kutumatu kwakuwa nilikuwa nimemlazimisha akaituma akijua jamaa atakaa kimya jamaa akamwendea hewani akamwambi vilevile nikamwambia lete niongee naye!!Nikasalimia naye nikamwambia ndugu najua wewe hunakosa kosa ni huyu mwanamke kutwambia kuwa anajamaa hivyo wewe sikulaumu ila kwaleo nakujulisha huyu demu ninaye niwangu jamaa akasema kwa uchungu i was doing some work but now i cant do anything!!Nikamuuliza kwanini akasema achatu nitaongea naye nikamwambia ila mimi nimeishakupa taarifa!!Sasa demu kumwambia akasema hapana alikuwa ananitaka nikamwambia poa nikakamua lala salama lakini demu ajui mimi ndo bye anapiga simu mimi napokea kawaida ila nddo nimemumwaga!!
 
sasa kwa nini ulimuharibia na kule??kama ulikuwa unajua utammwaga??wanaume wengine bwana aaaagh!
 
Yeye hakujua kama yupo pekee yake sema na ninyi wanawake hamliziki bwana. Nini kutuunganisha kama karatasi
sasa kwa nini ulimuharibia na kule??kama ulikuwa unajua utammwaga??wanaume wengine bwana aaaagh!

Hapo kaka usije sema umeacha tukakushauri wakati bado unapenda au na wewe ulikuwa unasehemu hivyo umeshangilia ushindi huo maana nilijua sasa uwe unalia!
 
sasa kwa nini ulimuharibia na kule??kama ulikuwa unajua utammwaga??wanaume wengine bwana aaaagh!

Tatizo yeye hataki kusema ukweli nikajua ndo tabia yake ameshakuwa panya wa gharani maana panya wa gharani ukijifany amjanja kumkimbiza utaangukiwa na magunia!!!
 
Tatizo yeye hataki kusema ukweli nikajua ndo tabia yake ameshakuwa panya wa gharani maana panya wa gharani ukijifany amjanja kumkimbiza utaangukiwa na magunia!!!

Ungemega kimya kimya ukamuacha aende kwa huyo jamaa yake!....umemkomoa kwa kumuharibia kule sasa sijui umepata nini?:embarrassed:
 
Anaweza kwenda kwani jamaa inaonekana amekolea kweli na mimi sijamwambia nini kinaendelea hata hivi katoka kunipigia nikamwambia nipo kazini ila nitakupiia ila ukweli yote nikuwa byebye kwake na tatizo hawezikusoma alama za nyakati nilikuwa nikienda mikoani kikazi tunakuwa wote this time nimeenda sikumchukua akauliza nika mwambia nipo busy sitaweza ila nikwamba nitakujulisha upande basi mpaka nimerudi jijini kimya!!
 
Huyo rose nae ni walewale tu. Eti kwa nini umemharibia na kule! What a strange qn?
 
Kaiza kama si mkweli achana nae maana atakupotezea muda najua hadi kusema hivyo mwanaume utakuwa umechoka na haina haja ya kuwa na mtu usiyemuamini ...
 
Yeye hakujua kama yupo pekee yake sema na ninyi wanawake hamliziki bwana. Nini kutuunganisha kama karatasi

Hapo kaka usije sema umeacha tukakushauri wakati bado unapenda au na wewe ulikuwa unasehemu hivyo umeshangilia ushindi huo maana nilijua sasa uwe unalia!

na nyinyi mnavyotuchanga km karata?
au mkitendewa nyinyi inauma sana?
thou siung mkono swaga za uyu demu za kuwaunganisha km matairi ya trekta...pole mwaya!!
 
Huyo rose nae ni walewale tu. Eti kwa nini umemharibia na kule! What a strange qn?

of course na mie ni mmoja wa 'hao hao'...hata ungekuwa wewe, unaona ni fair kitendo alichofanya kakakiiza????kama hakuwa na mpango naye angemuacha aende kwa huyo jamaa mwingine....period!
 
RF mimi ninaona ni style ya mademu wote wa mijini kazi nikuchakachua nakuwambia anza hawawezi kubadrika!!

na wanaume wa mjin wakoje?
kojo kwa kojoi mi naona poa tu uku mwanamke fulani analia kwa kuchitiwa na kuleeeeeee mwanaume fulana analia kwa kupangwa km kuni so poooooooooooooooooooa tu.....anasaidia kuchapa wanaume wanaowaliza wake zao!
 
Kaiza kama si mkweli achana nae maana atakupotezea muda najua hadi kusema hivyo mwanaume utakuwa umechoka na haina haja ya kuwa na mtu usiyemuamini ...

I Says Thank You to ZIPUWAWA For This Useful Post:
 
na nyinyi mnavyotuchanga km karata?
au mkitendewa nyinyi inauma sana?
thou siung mkono swaga za uyu demu za kuwaunganisha km matairi ya trekta...pole mwaya!!

ROSE 1980 bwana unaniachaga hoi hivi unaonaje tukutane siku moja kila mmoja wetu acheke kivyake??
 
Dah! Mwanangu ummetumia busara kweli.
Kibuti cha kimya kimya huwa kinawauma sana hasa vicheche.
Mimi kuna mmoja alikuwa ana mipango hiyo hiyo, mara tukiwa naye mtu anampigia simu naye bila aibu eti anapokea na anaongea na njemba mbele yangu,,, nilichofanya hata sikumuuliza huyo ni nani uliyekuwa unaongea naye. Tulimaliza mambo yetu na tukaagana kwa amani tu. Ikatokea kila akipiga simu tukutane nampa visingizio kibaao mradi tusikutane.. Alivyokuja kugundua kuwa mwenzake sina habari naye tena eti anakuja kunambia nikimhitaji wakati wowote nisisite kumtafuta eti bado ananipenda! Siku hizi huwa tunawasiliana kama marafiki tu. Mpaka leo ananiomba nimwambie sababu ya kutokutaka mahusiano naye, eti moyo unamuuma...

Jamani ukimtenda mpenzi wako na ukaona amekaa kimya usifikiri kuwa umepata boya la kuchezea..
 
Back
Top Bottom