Demu myeyushaji

Soulbrother

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
405
14
Nanukuu

"Nilikutana nae kwa mshikaji, kaniambia walikuwa wanasoma pamoja

nikakutana nae mtaani, nikamnunulia msosi, tukabadilisha namba

tukaanza kuchati, mambo ya message usiku kucha, nikampeleka slipway mara mbili, movie mara moja

Kaniambia ananipenda, nami nikampenda tena kwa dhati

kaniomba vocha, nikamtumia, akanibeep nilipopiga, kasema ahsante

nikamwambia tutoke kideti Movenpeak, akaja na mdogo wake, nikalipia gharama

Baada ya wiki, akaniomba laki, nikwamwambia subiri, bado sipo freshi, sasa hajibu message na simu anakata

si miyeyusho au?"
 
haha, mwambie akulipe vocha zako! anakuzingua huyo! ila mzee inaonekana umekaa kimegaji zaidi na sio kimapenzi! kwahiyo wote hapo ni mapleya!
 
umenunua vocha akabeep..!baada ya wiki tu anataka laki shame on her alitaka kukufanya ATM.
 
ASome men deserve that, maana hawatulii kila wakionacho wanakitolea macho, hii ndo fidia, utachunika wewe hadi jasho likutoke. sasa kama mtu ulikuwa hujamjua vizuri move n pick, sijui slip way kufanya nini? mwenyewe umemuonyeaha unazo, yani bab kubwa, sasa unashindwaje kutoa laki? Tatizo ni wanaume wengine kutaka kuwahadaa wadada kwa date za nguvu magari makubwa etc, sasa ukikutana na msanii kama huyo kaa chonjo coz you aint going to win man
 
you sounds like a good man, but that girl doesnt suit you... she is up for something
 
Nanukuu

"Nilikutana nae kwa mshikaji, kaniambia walikuwa wanasoma pamoja

nikakutana nae mtaani, nikamnunulia msosi, tukabadilisha namba

tukaanza kuchati, mambo ya message usiku kucha, nikampeleka slipway mara mbili, movie mara moja

Kaniambia ananipenda, nami nikampenda tena kwa dhati

kaniomba vocha, nikamtumia, akanibeep nilipopiga, kasema ahsante

nikamwambia tutoke kideti Movenpeak, akaja na mdogo wake, nikalipia gharama

Baada ya wiki, akaniomba laki, nikwamwambia subiri, bado sipo freshi, sasa hajibu message na simu anakata

si miyeyusho au?"

Hakika uliingia choo cha kike toka haraka, Japo na wewe nahisi ulikuwa unataka kubofya tu
 
Mbona unakata tamaa mapema hivi!! Huyu mdada anakupima tu pumzi zako, sasa wewe kwa vidate vyako unataka upate kila kitu? kakuomba laki umechomoa!! ana haja gani ya kupokea simu zako!!
Kaza buti endelea ! She is Just playing hard to get
 
Nanukuu

"Nilikutana nae kwa mshikaji, kaniambia walikuwa wanasoma pamoja

nikakutana nae mtaani, nikamnunulia msosi, tukabadilisha namba

tukaanza kuchati, mambo ya message usiku kucha, nikampeleka slipway mara mbili, movie mara moja

Kaniambia ananipenda, nami nikampenda tena kwa dhati

kaniomba vocha, nikamtumia, akanibeep nilipopiga, kasema ahsante

nikamwambia tutoke kideti Movenpeak, akaja na mdogo wake, nikalipia gharama

Baada ya wiki, akaniomba laki, nikwamwambia subiri, bado sipo freshi, sasa hajibu message na simu anakata

si miyeyusho au?"

Kaka we ndo ulianza kutongozwa?mwenzio alikuwa anatafuta mtaji!!!!!!!!
 
mtafutie hiyo laki, tatizo likowapi? asubiri hadi lini? kama umeshafulia si umwambie ujue moja?
 
Kama unampenda wewe endelea tu. Inawezekana kweli ana shida huyo dada, huwezi jua bana.
 
Ungeanza kwa kumpeleka chawote au zero pub sana sana angeanza kukuomba kama 20k or below. sasa m2 kaja na mdogo wake moven pick umeclear bill. Si ashakuona Bab kubwa hiyo laki kwako ni kama 10k tu. Ndo maana kaona kama unamyeyusha vile!! kwa kumnyims hiyo laki, au nimekosea jamani?
 
Huyo HAKUPENDI na alitaka kukufanya ATM!! Ndo maana ulipomwambia kama huna akasepa!! Angekuwa real, mawasiliano yangeendelea kama kawaida.

Kama ulikuwa na nia nae seriously.... basi mmwage hakufai huyo!! Lakini kama nia ilikuwa ni kumtumia kama chombo cha starehe, basi tafuta namna ya kumfyatua, kisha mmwage!! Never start a project that you cannot complete man, laki moja kitu gani kwani!!!

Tunaonga warembo Toyota Vitz, we unaogopa kutoa laki?? Kut@@ba warembo gharama hapa mjini, kama huwezi nenda kachukua mademu wa Mbagala na Temeke kama mwenzio Fidel!!
 
Ungeanza kwa kumpeleka chawote au zero pub sana sana angeanza kukuomba kama 20k or below. sasa m2 kaja na mdogo wake moven pick umeclear bill. Si ashakuona Bab kubwa hiyo laki kwako ni kama 10k tu. Ndo maana kaona kama unamyeyusha vile!! kwa kumnyims hiyo laki, au nimekosea jamani?

apo tupo ukurasa mmoja...unajua I was like...whaat..siku ya kwanza tu mara mamovie (sijui ndo kuangalia 3D ya Avatar?) mara slipway, mara movenpick.....sasa mwanamke wa ivo kweli unadhani kutakuwa na penzi la dhati?

labda turudi kwenye basics za kutafuta mwenzi wa maisha tunafanyaje? ijapokuwa si rule out hiyo option kulingana na uwezo wa mtu, lakini uzoefu unaonyesha mahusiano yanayoanza ki hivyo huwa hayadumu hata kidogo...ni kama kujenga kwenye mchanga

mlete chawote uone kama atakufanyia namna hiyo?
 
ASome men deserve that, maana hawatulii kila wakionacho wanakitolea macho, hii ndo fidia, utachunika wewe hadi jasho likutoke. sasa kama mtu ulikuwa hujamjua vizuri move n pick, sijui slip way kufanya nini? mwenyewe umemuonyeaha unazo, yani bab kubwa, sasa unashindwaje kutoa laki? Tatizo ni wanaume wengine kutaka kuwahadaa wadada kwa date za nguvu magari makubwa etc, sasa ukikutana na msanii kama huyo kaa chonjo coz you aint going to win man

Tell them my sister!!! dawa yao!
 
Back
Top Bottom