Demu mkaliii akikukubalia just know that ww ni noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Demu mkaliii akikukubalia just know that ww ni noma

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kijana Msomali, Oct 5, 2012.

 1. K

  Kijana Msomali Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Morning People

  Its Furahi Daaaaay!!!!!

  Hivi Unazijua Shortest Days In The Week.....Hahahaha Kama Huzijua Worry Out I am Going To Tell You Fella....Ziko Siku Mbili Ndani Ya Wiki Ambazo Hypothetically ni Fupi Sana......Dont Think Too Much Baana...Siku Zenyewe Ni FRIDAY na SUNDAY...Jibu Unalo Mwenyewe...Usiniulize...Lolz

  Well, Hiyo ilikuwa ni Brain Washing Tu...Now Let us Go Back To Our Topic....

  Kama kuna demu mkali hapo mtaani,ofisini,nyumbani,njiani,kwa treni ama kwa basi amekukubalia baada ya kumpigia misele kwa sana jua ya kwamba WEWE NI NOMA NA UKO JUU....Haijalishi amekukubalia kwa

  1.Pesa Zako

  2.Kazi Yako

  3.Elimu Yako

  4.Gari Lako

  5.Maneno yako ya Kimahaba - Romantic Words

  6.Mvuto Wako

  7.Urefu ama Ufupi Wako

  It does not matter....jua ww ni noma...what matters ni kuwa mwisho wa siku unatiririka nae kuleeeeeeeeee!!!! Lolz


  Moood Ya Friday......Lolz
   
 2. lukatony

  lukatony JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Imenigusa!!!!!kumbe mi ni mkali balaaa!!!!!!!!!!!
   
 3. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mweh!mbona tunalo mwaka huu!
   
 4. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  umekubaliwa leoleo asubui hii hii ya ijumaa au jana?weweeeee mmmmm.mbayaaaaaaaaaaaa!
   
 5. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  u sound like u just came from kukubaliwad...
   
 6. K

  Kijana Msomali Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  snowhite

  Na Bado.....lolz
   
 7. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  umeona eeh? si kazi ndogo aisee
   
 8. K

  Kijana Msomali Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nipeukweli

  ulijuaje....lolz
   
 9. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  na kweli mkuu naona mmeamua kweli kweli!muda si mrefu tutawapisha humu manake dah!
   
 10. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  yani nazidi kumuona Kaunga jinsi alivyo genius.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  kabisa...kuna haja ya JF Jando alafu mamii Kaunga akatusaidia kidogo kunyoosha vichwa, dah.
  wapi the Boss na pacha wako Snowball, the gents....

  ...bila kusahau Asprin, DC na Mtambuzi...lolz
   
 12. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkimaliza ntarudi
   
 13. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kwa kweli waje tu tutengeneze JF jando manake nafikir kuna sehemu wazazi tunakosea,hili ni tatizo i see!mimi ogopa hii:shock:
  :A S embarassed:
   
 14. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,099
  Likes Received: 11,248
  Trophy Points: 280
  subiri kuachwa akakubaliwe mwingine.
   
 15. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  una miaka mingapi?
   
 16. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Chaliiiiiii! Achaga mambo zako!. Hawa watoii wa town ukiwapaga hayo maskills wanaishia kufanya Massive Destruction!!!! Basi kisa umewapaga hiyo introoo kila MANZI akikatisha mbele yao wanumrushia rymes!!!
   
 17. cedrickngowi

  cedrickngowi Senior Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we mkareeeeeeeeeeeeeeeee,na ukifanya fanya sana cooz u never know,it might be your first and last.c unajua mademu wakali kwa mbwembwe.cheeeeeeeeeeeeeers felaz.
   
 18. K

  Kijana Msomali Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Miaka Kadhaa...lolz
   
Loading...