Demu anapenda sex phone

iron finger

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
358
220
kuna mrembo nimekuwa na urafiki nae kwa mda mrefu lakini cha ajabu kila mara nyakati za usiku ananiomba tufanye mapenzi njia ya kwa simu hali hii inapelekea kujichafua kila siku au kumalizia bafuni nikimuomba tupige mzigo live anakuwa mgumu,
 
inaitwa phone sex mkuu sio sex phone.
ukiona hivyo ujue wewe ni mshika pembe tu wanaokamua ni wengine au kwa lugha ingine utaishia kunawa tu walaji wengine.
Sijui niko dunia gani maana naona kama hiyo kitu ni ngeni kwangu!
 
inaitwa phone sex mkuu sio sex phone.
ukiona hivyo ujue wewe ni mshika pembe tu wanaokamua ni wengine au kwa lugha ingine utaishia kunawa tu walaji wengine.

Kwa hiyo hata kama mumeo/mkeo yupo mbali wee ni mshika pembe??? lol
 
kuna mrembo nimekuwa na urafiki nae kwa mda mrefu lakini cha ajabu kila mara nyakati za usiku ananiomba tufanye mapenzi njia ya kwa simu hali hii inapelekea kujichafua kila siku au kumalizia bafuni nikimuomba tupige mzigo live anakuwa mgumu,

Sasa nimeelewa kwa nini topic yako ya mwisho ilikua inahusu Mast**** Pole saana.
 
inaitwa phone sex mkuu sio sex phone.
ukiona hivyo ujue wewe ni mshika pembe tu wanaokamua ni wengine au kwa lugha ingine utaishia kunawa tu walaji wengine.

hahahaa, arifu umenifurahisha sana. Yaani jamaa kashindwa kabisa kusoma alama za nyakati!!
 
inaitwa phone sex mkuu sio sex phone.
ukiona hivyo ujue wewe ni mshika pembe tu wanaokamua ni wengine au kwa lugha ingine utaishia kunawa tu walaji wengine.

we jamaa yaelekea umesoma private school eeh,sie wengine st kayumba bana ndo mana lugha mbovu!
 
Mhhh inawezekana pia anaogopa maambikizo but anapenda kuendelea kuwa na mawasiliano ya karibu na wewe! Hebu jaribu kumtafuta then ongea naye na umwambie lililo moyoni mwako na mtazamo wako juu ya hiyo sex phone ohhhh, sorry I mean phone sex!
 
naikumbuka ile thread yako inayosema kwamba umeshakuwa addicted na kujichua, sassa Jombaa hata kama utaeenda kupewa dudu utaweza?? maana nyeto ishakuharibu...
 
sasa mheshimiwa unaomba ushauri gani sasa. inaelekea nawe unapenda otherwise ungekwisha mwambia kuwa you are not interested na hiyo kitu anayotaka. hahaha pole sana lakini mimi nakushauri uachane na hiyo kitu bana
 
kukupenda anakupenda bt inaonyesha kuna kitu anaogopa, asingeweza kuwasiliana na wewe na kukuomba mfanye mapenzi kwa phone usiku......endelea kubembeleza mzigo utapata tu.
 
Back
Top Bottom