DEMU ALINITOSA LEO,ANANILILIA ,nisaidien wakuu.

don't waste ur time and energy bro! Achana naye, hao huwa ni Wale wanaopenda watu waliofanikiwa tayari na hawako tayari kuanza from the grass root! Umefanikiwa anakutaka, mambo yakikuharibikia anakupiga kibuti na kuanzisha mahusiano na wenye Nazo, hiyo ni mzigo! U have to be keen unapotafuta mwenza wako wa maisha, la sivyo itakula kwako! Na watu kama hao Sio kwamba huwa wanabadilika bali wanachange kuendana na upepo wa kiuchumi!
Soma haya na changanya na yako! Akili kumkichwa kaka!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sikiliza moyo wako..kama bado unampenda na anakuvutia msamehe atakua kajifunza vya kutosha ila kama hayupo moyon muache kabisaaaa
 
Mkuu achana nae. Umenikumbusha story flani. Kuna demu m1 mkikuyu tulisoma pamoja high school shule flani (nje ya tanzania). Alinivutia sana. Mzuri Mpole nk. Baada ya muda nilihamishiwa campus nyingine ya shule hiyohiyo na yeye alibaki palepale so kuonana ikawa ngumu kidogo. Mpaka siku namaliza high schoo pale sikuwa na mawasiliano nae. Kila mtu akarudi kwao. Mi tanzania yule demu kenya. Baada kama ya miaka 4,5 hivi.. Jamaa flani walianzisha group ya ile shule facebook. Wengi tulijiunga. Its was rly fun.. Sharin experience bak then wit ua OB's n OG's. Hamadiii! Yule binti nikamtuka ktk lile grp akanikumbuka. tunaanza kuwasiliana fresh. kuna tym nlkw likizo. Nkaamua kwenda nairobi. Mbali ya mengineyo yaliyonipeleka mojawapo alikuwa yule binti. Alikuwa anamalizia chuo Jomo Kenyatta Univ Of Scince n Tech. Nilifika hadi kwake maeneo ya Juja thika road uko cz alikuwa anakaa off campus. Alipokea vizuri sana. Yaani nilienjoy sana kuwa kwake pale. Had a gr8 tym yaan. W'end alinipeleka kumuona mama yake. Bi mkubwa wake alifurahi sana. Alinipenda inshort. Basi mi nikarudi zangu tz. Tukawa tunawasiliana daily via simu, fb, texts. Baada kama ya miezi 6, akabadilika. Nikimpigia simu hapokei. Mara akipokea tone inakuwa tofauti na ilivyo as if amelazimishwa kuongea na mimi. Nakumbuka kuna week flani nilimpigia siku hakupokea kabisa. Nkajiuliza kuna nn? Sikupata jibu. Nkauchuna. Zikapita week kadhaa. Siku moja niko online fb. Sina hili wala lile. Naona ktk profile yangu pale ktk category ya friends u might knw jina lake n prof pic yake. Eeh! Nilishtuka sana. Fasta nikachek Kumbe ameni-unfriend aisee.. Mmmh! Sikuwa na jibu la moja kwa moja. Nkapiga moyo konde nkampigia simu. Akapokea. Straight nkamuuliza mbona umeniunfriend fb? Akanijbu am sry its a long story. Nkakata simu nkaachana nae cz mwanamke akisema its a long story basi ujue kuna mengi hapo katikati. Nkamtoa kichwani. Nkaendelea na life yangu. Baada kama ya miezi kadhaa. Nkakuta missed cal yake cz nlkw mbali na simu. Nkamflash. Akapiga. Akasema ananisalimia tukaongea kidogo. Akawa anasema sry kwa kuniunfriend. Mi nkataka kujua sababu. If its worthy it ama la?? Akaniambia niende online fb ataniambia wit 1 condition aniadd tena then baada ya kuniambia ani unfrnd tena. Nkaona sio issue ngoja nijue sababu. Nkaingia online tukachat. Ila sababu hakutoa akawa anajikanyaga kanyaga 2. Tukaachana. Akaniunfriend. Mambo yakaisha. Ukapita mwaka m1 mara siku ntaona request yake. Nkaipotezea. Akarequest tena na akaniibox pls kubali request yangu. Cz she insisted nkakubali. Akaanza Am sry nyingii sijui kilipanda sijui kilishuka mambo mengi. Too bad nilikuwa nshamsahau. Ikabidi tuwe marafiki wa kawaida 2. N stl frnds mpaka sasa.

So mkuu achana nae.. Kutakuwa kuna jamaa nyuma ya pazia. Baada ya kuumizwa uko anataka kuja kwa ili uwe crying shoulder. Hana mapenzi ya kweli kabisa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
naunga hoja 100%
 
Ushjauri mkuu unao wewe wengine tunaongezea, so wewe una feelings zipi kwake? tafakari na chukua hatua
 
Wakuu mimi nilikuwa nimemaliza shule ya msingi mwaka 1997,mapambano primary School, mjini Dsm. Nilikuwa nasoma na Mtoto mmoja mkali sana yaani mzuri wa sura. lakini kipindi hicho alikuwa rafiki yangu tu wa kawaida. Baada ya Darasa la saba me nilifaru kwenda AZANIA Sec. School. yule binti alikuwaalichaguliwa kwenda kisutu Sec. School.

Lakini me wazee wakamua niende Maua Seminary, Na yule binti akaenda kifungiro. wakati huo tulikuwa tuna wasiliana kama marafiki tu wakati wa likizo. baada ya kumaliza o"level yule binti akapelekwa Loleza, me nilipangiwa Songea boys High school but nikaamua kwenda Sangu high school Mbeya. Nikakutana na yule binti Mbeya ,

Basi tukaanza mahusiano ya kimapenzi mwaka huo. tulikuwa wote tunarudi likizo pamoja na wote tunaenda shule pamoja tukifika mbeya kila mtu anaelekea shuleni kwake.Tuliendelea na mahusiano na kila mtu akijitahidi kwenye masomo. Me nilikuwa nasoma PCM na yeye CBG.
Matokeo ya advance Tukafauru na kajiunga na Chuo Udsm. B.Eng Computer Engineering and IT yeye alipata kuajiliwa na PEA COCK Hotel kabla ya chuo kuanza.(kumbuka miaka hiyo tulikuwa tunakaa mwaka mmoja kabla ya kujiunga na chuo tofauti na sasa watu wanaunganisha.)

Me niko shule yeye yupo kazin ,akaanza kuniletea mapozi kila kimtafuta alikuwa yupo bize sana, nilikuwa najikaza ikafika kipindi nikimpigia mpaka simu hapokei. Basi nikachukulia easy.

na mimi mwaka ule ule nikapata Schoraship ,ya kwenda kusoma Urusi nikaacha udsm nikaenda urusi kusoma kozi ileile Computer Science Engineering. kozi yanguilikuwa ya miaka mitano.nilipomaliza mwaka wa kwanza urusi, nikaja Dsm kutembea likizo nikamtafuta yule binti kwa bidiii zote nikaenda kwao nikawakuta wazazi wake nikamuulizi bcoz walikuwa wananijua walinikalibisha wakaniambia mwenzako amehama amehamia kimara amepanga. wakanipa namba yake.

Baada ya kunipa namba yake nikampigia ,nikajitamburisha kwa kweli alinikumbuka akasema yupo bize kidogo nimpigie baadaye.

Baadaye nikampigia tena ,akaniambia yupo ndani ya gari akishuka atanipigia ,nikasubiri nikaona apigi. Baadaye niakamua nimpigie ikapokelewa ile simu lakini ni sauti ya mwanamke mwingine ikisema " we ni nani mwenye simu hayupo" nikajitamburisha ,akaendelea kusema " wewe ndiye unataka kuharibu ndoa ya wifi yangu na kaka yangu" nikawa pazzled , sijakaa sawa nikapigiwa mimi ikasikika sauti ya mwanaume " wewe ndiye unamsumbua mke wangu" nika changanyikiwa zaidi. Nikaanza kujiuliza hivi huyu binti ameshaolewa mbona nimeenda kwao hawajanipa hiz taarifa,nilisikitika sana coz nilimpenda sana huyu mdada.

likizo ilikuwa imeisha nikarudi zangu Urusi, nikaa kule mpaka nimemaliza Chuo, miezi mitatu kabla sijamaliza chuo nilikuwa nachati kwenye Marafiki.com . Bahati nzuri nika mkuta yule bint online kwa jina lake lile lile ,me nilikuwa natumia nickname . Nikamuuliza wewe ndiye X akanijibu kama ifutav
nimelitoa jina mutanisamehe.nimeliita (X).

Nikamuuliza umeshawahi kuishi Mbeya?
akajibu:
mmmh nilishawahi kuwa Mbeya ila ni mda mrefu sasa, wewe je uko wapi?

Nikamwabia me nipo Urussi ,kwa kweli alikuwa anajua kama mimi bado niliendelea Udsm,hakujua kama niliacha pale

nikamwambia wewe ni (X),akanijibu:
"its me ma dia, sasa waweza nambia wewe ni nani?"

Nikamwambia unamjua (Y)?,yaani mimi
akajibu:
"ndio namfahamu wewe ni nani?"

Nikamwambia mimi ndiye (Y) .

akanijibu:"naomba nikupe email yangu ili tuwasiliane m___X@yahoo.com nakukumbuka sana ma dia"

nafurahi kuchat na wewe tena.
nikamwambia sehemu nilipo na kitu gani nakifanya
"mmmh sawa nafurahi kusikia hivyo mimi nipo bado dar maisha yamenipiga ile mbaya mpaka natamani nitorokee vijijini. Ni lini unakuja bongo ama umeshahamishia life yako huko kwa warusi?

akaanaza kuniomba msamaha kwa yote yaliotokea ,nikanuuliza mumeo hajambo akasema hajaolewa bado kumbe ile ilikuwa nini hakunipa jibu lakini inaonekana kama alipigwa kibuti na huyo jamaa ambaye alikuwa anaishi naye.ananibembeleza turudiane ,alinuliza siku ya kurudi dar nikamwambia ,
narudi tu Air port nikamkuta naye anakuja kunipokea ,ni muda imepita miaka miwili sasa bado ananibembeleza kwa sasa ameshaanza chuo yupo Mzumbe anasoma Degree ya Busness administration.

lakini siku hiz havutii kama alivyokuwa anavutia zamani.

Wazee mnasemaje naombeni ushauri.

Mwanangu huyo anakufaa maana keshapata darasa hawezi kurudia kufanya kosa!!! Ila angalizo fanya vitu vya kweli kama unampenda panga muoane kiukweli msipotezeane muda process zingine za kupimwa zifuate, muda ni mali!!!

Mwanaume hela mwanamke uzuri na uzuri una timing sasa hapo ndio unakuta kibabu
kinamega demu mkali
 
Mkuu kama unampenda usihofu unaweza kujaribu tena kumpa nafasi coz kajifunza sasa na nakuhakikishia atakua mke mwema. Ila kwa upande mwingine nikuwa alionyesha hali ya tamaa. Aliona wewe utachukua muda mrefu kufikia hatua ya huyo jamaa yake. Wanawake wengi sana wanatabia hiyo especially anapo pewa ahadi ya kuolewa na jamaa.
PIMA MAJI KAKA NA UMAWEZA OGEREA

kaka umeongea point sana, ila tu kwa kuongezea hapo jamaa kama bado anahic ana mpenda, waende wakapime kama wako poa ampe nafac tena huku akitathmini tabia yake kipindi huyo dada anasoma!
 
Wakuu mimi nilikuwa nimemaliza shule ya msingi mwaka 1997,mapambano primary School, mjini Dsm. Nilikuwa nasoma na Mtoto mmoja mkali sana yaani mzuri wa sura. lakini kipindi hicho alikuwa rafiki yangu tu wa kawaida. Baada ya Darasa la saba me nilifaru kwenda AZANIA Sec. School. yule binti alikuwaalichaguliwa kwenda kisutu Sec. School. Lakini me wazee wakamua niende Maua Seminary, Na yule binti akaenda kifungiro. wakati huo tulikuwa tuna wasiliana kama marafiki tu wakati wa likizo. baada ya kumaliza o"level yule binti akapelekwa Loleza, me nilipangiwa Songea boys High school but nikaamua kwenda Sangu high school Mbeya. Nikakutana na yule binti Mbeya ,Basi tukaanza mahusiano ya kimapenzi mwaka huo. tulikuwa wote tunarudi likizo pamoja na wote tunaenda shule pamoja tukifika mbeya kila mtu anaelekea shuleni kwake.Tuliendelea na mahusiano na kila mtu akijitahidi kwenye masomo. Me nilikuwa nasoma PCM na yeye CBG. Matokeo ya advance Tukafauru na kajiunga na Chuo Udsm. B.Eng Computer Engineering and IT yeye alipata kuajiliwa na PEA COCK Hotel kabla ya chuo kuanza.(kumbuka miaka hiyo tulikuwa tunakaa mwaka mmoja kabla ya kujiunga na chuo tofauti na sasa watu wanaunganisha.)Me niko shule yeye yupo kazin ,akaanza kuniletea mapozi kila kimtafuta alikuwa yupo bize sana, nilikuwa najikaza ikafika kipindi nikimpigia mpaka simu hapokei. Basi nikachukulia easy.na mimi mwaka ule ule nikapata Schoraship ,ya kwenda kusoma Urusi nikaacha udsm nikaenda urusi kusoma kozi ileile Computer Science Engineering. kozi yanguilikuwa ya miaka mitano.nilipomaliza mwaka wa kwanza urusi, nikaja Dsm kutembea likizo nikamtafuta yule binti kwa bidiii zote nikaenda kwao nikawakuta wazazi wake nikamuulizi bcoz walikuwa wananijua walinikalibisha wakaniambia mwenzako amehama amehamia kimara amepanga. wakanipa namba yake.Baada ya kunipa namba yake nikampigia ,nikajitamburisha kwa kweli alinikumbuka akasema yupo bize kidogo nimpigie baadaye.Baadaye nikampigia tena ,akaniambia yupo ndani ya gari akishuka atanipigia ,nikasubiri nikaona apigi. Baadaye niakamua nimpigie ikapokelewa ile simu lakini ni sauti ya mwanamke mwingine ikisema " we ni nani mwenye simu hayupo" nikajitamburisha ,akaendelea kusema " wewe ndiye unataka kuharibu ndoa ya wifi yangu na kaka yangu" nikawa pazzled , sijakaa sawa nikapigiwa mimi ikasikika sauti ya mwanaume " wewe ndiye unamsumbua mke wangu" nika changanyikiwa zaidi. Nikaanza kujiuliza hivi huyu binti ameshaolewa mbona nimeenda kwao hawajanipa hiz taarifa,nilisikitika sana coz nilimpenda sana huyu mdada.likizo ilikuwa imeisha nikarudi zangu Urusi, nikaa kule mpaka nimemaliza Chuo, miezi mitatu kabla sijamaliza chuo nilikuwa nachati kwenye Marafiki.com . Bahati nzuri nika mkuta yule bint online kwa jina lake lile lile ,me nilikuwa natumia nickname . Nikamuuliza wewe ndiye X akanijibu kama ifutavnimelitoa jina mutanisamehe.nimeliita (X).Nikamuuliza umeshawahi kuishi Mbeya?akajibu:
mmmh nilishawahi kuwa Mbeya ila ni mda mrefu sasa, wewe je uko wapi?

Nikamwabia me nipo Urussi ,kwa kweli alikuwa anajua kama mimi bado niliendelea Udsm,hakujua kama niliacha palenikamwambia wewe ni (X),akanijibu:
"its me ma dia, sasa waweza nambia wewe ni nani?"Nikamwambia unamjua (Y)?,yaani mimiakajibu:
"ndio namfahamu wewe ni nani?"Nikamwambia mimi ndiye (Y) .akanijibu:"naomba nikupe email yangu ili tuwasiliane m___X@yahoo.com nakukumbuka sana ma dia"
nafurahi kuchat na wewe tena.nikamwambia sehemu nilipo na kitu gani nakifanya
"mmmh sawa nafurahi kusikia hivyo mimi nipo bado dar maisha yamenipiga ile mbaya mpaka natamani nitorokee vijijini. Ni lini unakuja bongo ama umeshahamishia life yako huko kwa warusi? akaanaza kuniomba msamaha kwa yote yaliotokea ,nikanuuliza mumeo hajambo akasema hajaolewa bado kumbe ile ilikuwa nini hakunipa jibu lakini inaonekana kama alipigwa kibuti na huyo jamaa ambaye alikuwa anaishi naye.ananibembeleza turudiane ,alinuliza siku ya kurudi dar nikamwambia ,narudi tu Air port nikamkuta naye anakuja kunipokea ,ni muda imepita miaka miwili sasa bado ananibembeleza kwa sasa ameshaanza chuo yupo Mzumbe anasoma Degree ya Busness administration.lakini siku hiz havutii kama alivyokuwa anavutia zamani.Wazee mnasemaje naombeni ushauri.
Duh!...Mbona mi yule niliyempenda harudi kuja kunililia?....
 
Daaaaaah yanatokeaga hayo lkn msogeze karibu ili ujue kilichomsibu..............ukimkwepa nw utamuweka ktk wkt mgumu sana kias ambacho anaweza akapotea coz mapenz huwa yanageuka kwa style hyo.
 
test kama machine ipo mwake,kama ipo mwake,chukua mzigo fasta
Wakuu mimi nilikuwa nimemaliza shule ya msingi mwaka 1997,mapambano primary School, mjini Dsm. Nilikuwa nasoma na Mtoto mmoja mkali sana yaani mzuri wa sura. lakini kipindi hicho alikuwa rafiki yangu tu wa kawaida. Baada ya Darasa la saba me nilifaru kwenda AZANIA Sec. School. yule binti alikuwaalichaguliwa kwenda kisutu Sec. School.

Lakini me wazee wakamua niende Maua Seminary, Na yule binti akaenda kifungiro. wakati huo tulikuwa tuna wasiliana kama marafiki tu wakati wa likizo. baada ya kumaliza o"level yule binti akapelekwa Loleza, me nilipangiwa Songea boys High school but nikaamua kwenda Sangu high school Mbeya. Nikakutana na yule binti Mbeya ,

Basi tukaanza mahusiano ya kimapenzi mwaka huo. tulikuwa wote tunarudi likizo pamoja na wote tunaenda shule pamoja tukifika mbeya kila mtu anaelekea shuleni kwake.Tuliendelea na mahusiano na kila mtu akijitahidi kwenye masomo. Me nilikuwa nasoma PCM na yeye CBG.
Matokeo ya advance Tukafauru na kajiunga na Chuo Udsm. B.Eng Computer Engineering and IT yeye alipata kuajiliwa na PEA COCK Hotel kabla ya chuo kuanza.(kumbuka miaka hiyo tulikuwa tunakaa mwaka mmoja kabla ya kujiunga na chuo tofauti na sasa watu wanaunganisha.)

Me niko shule yeye yupo kazin ,akaanza kuniletea mapozi kila kimtafuta alikuwa yupo bize sana, nilikuwa najikaza ikafika kipindi nikimpigia mpaka simu hapokei. Basi nikachukulia easy.

na mimi mwaka ule ule nikapata Schoraship ,ya kwenda kusoma Urusi nikaacha udsm nikaenda urusi kusoma kozi ileile Computer Science Engineering. kozi yanguilikuwa ya miaka mitano.nilipomaliza mwaka wa kwanza urusi, nikaja Dsm kutembea likizo nikamtafuta yule binti kwa bidiii zote nikaenda kwao nikawakuta wazazi wake nikamuulizi bcoz walikuwa wananijua walinikalibisha wakaniambia mwenzako amehama amehamia kimara amepanga. wakanipa namba yake.

Baada ya kunipa namba yake nikampigia ,nikajitamburisha kwa kweli alinikumbuka akasema yupo bize kidogo nimpigie baadaye.

Baadaye nikampigia tena ,akaniambia yupo ndani ya gari akishuka atanipigia ,nikasubiri nikaona apigi. Baadaye niakamua nimpigie ikapokelewa ile simu lakini ni sauti ya mwanamke mwingine ikisema " we ni nani mwenye simu hayupo" nikajitamburisha ,akaendelea kusema " wewe ndiye unataka kuharibu ndoa ya wifi yangu na kaka yangu" nikawa pazzled , sijakaa sawa nikapigiwa mimi ikasikika sauti ya mwanaume " wewe ndiye unamsumbua mke wangu" nika changanyikiwa zaidi. Nikaanza kujiuliza hivi huyu binti ameshaolewa mbona nimeenda kwao hawajanipa hiz taarifa,nilisikitika sana coz nilimpenda sana huyu mdada.

likizo ilikuwa imeisha nikarudi zangu Urusi, nikaa kule mpaka nimemaliza Chuo, miezi mitatu kabla sijamaliza chuo nilikuwa nachati kwenye Marafiki.com . Bahati nzuri nika mkuta yule bint online kwa jina lake lile lile ,me nilikuwa natumia nickname . Nikamuuliza wewe ndiye X akanijibu kama ifutav
nimelitoa jina mutanisamehe.nimeliita (X).

Nikamuuliza umeshawahi kuishi Mbeya?
akajibu:
mmmh nilishawahi kuwa Mbeya ila ni mda mrefu sasa, wewe je uko wapi?

Nikamwabia me nipo Urussi ,kwa kweli alikuwa anajua kama mimi bado niliendelea Udsm,hakujua kama niliacha pale

nikamwambia wewe ni (X),akanijibu:
"its me ma dia, sasa waweza nambia wewe ni nani?"

Nikamwambia unamjua (Y)?,yaani mimi
akajibu:
"ndio namfahamu wewe ni nani?"

Nikamwambia mimi ndiye (Y) .

akanijibu:"naomba nikupe email yangu ili tuwasiliane m___X@yahoo.com nakukumbuka sana ma dia"

nafurahi kuchat na wewe tena.
nikamwambia sehemu nilipo na kitu gani nakifanya
"mmmh sawa nafurahi kusikia hivyo mimi nipo bado dar maisha yamenipiga ile mbaya mpaka natamani nitorokee vijijini. Ni lini unakuja bongo ama umeshahamishia life yako huko kwa warusi?

akaanaza kuniomba msamaha kwa yote yaliotokea ,nikanuuliza mumeo hajambo akasema hajaolewa bado kumbe ile ilikuwa nini hakunipa jibu lakini inaonekana kama alipigwa kibuti na huyo jamaa ambaye alikuwa anaishi naye.ananibembeleza turudiane ,alinuliza siku ya kurudi dar nikamwambia ,
narudi tu Air port nikamkuta naye anakuja kunipokea ,ni muda imepita miaka miwili sasa bado ananibembeleza kwa sasa ameshaanza chuo yupo Mzumbe anasoma Degree ya Busness administration.

lakini siku hiz havutii kama alivyokuwa anavutia zamani.

Wazee mnasemaje naombeni ushauri.

teh teh hajaona mabadiliko,unafikiri wanaliaga tu hovyo?Jiachie fanya maendeleo,bac atarudi tu labda atakayekutana nae awe juu zaid yko

Nimekusoma miss strong kama ni hivyo basi atakuwa yupo njiani maana enzi hizo nilikuwa just a man lakini sasa hivi am a real man!....
 
Last edited by a moderator:

nimesoma kifungilo na loleza .na unajua ninamzungu na utakuwa unanistalk .well get a life
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom