Demokrasia ya Tanzania ni nzuri kuliko ya Marekani, hapa Rais hawezi kuratibu maandamano ya ghasia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,779
141,663
Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.

Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?

Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.

Maendeleo hayana vyama!
 
Huwezi kulinganisha mwalimu na mwanafunzi. Kilichokea ni matokeo ya kumpa uhuru kupitiliza rais ambae kichwani hayupo vizuri.

America amekuwa mfano wa democracy miaka na miaka. Trump anakuwa rais wa kwanza kutawala muhula mmoja.
Na hili sio tatizo za institution za america.. bali rais mwenyewe ni jipu.. ndio maana kaondolewa
 
Hehehe... imebidi nicheke kicheko cha dharau mno.

Nchi zilizostaarabika kisiasa zinaendeshwa kwa mifumo na taasisi imara.

Hakuna mambo ya sijui mzizi umejichimbia ardhini. Mara sijui "muhimili wangu" umejikita matopeni.

Mahakama imemdhibiti Trump ipasavyo. Alitaka kuleta ulevi wake akarudishwa kwenye MSTARI.

Bunge ndio likammalizia kabisa. Kama ni jeneza basi nyundo imeshindilia msumari wa mwisho.

Ndio maana anababaika anajaribu kuwatumia manyumbu walete ghasia. Those are the last kicks of a dying horse. KWISHA HABARI YAKE.

Hakuna cha mzizi umejichimbia matopeni.

Huko Tanganyika, ndugai anaamrishwa jinsi mfalme atakavyo. Na hana jeuri ya kuleta fyoko. Athubutu aone!

Nchi inaendeshwa kama geto la machokoraa!
 
Hapa rais hawezi kuandaa maandamano ya ghasia maana hilo bunge lote yeye ndio katumia madaraka yake kuliweka.
 
Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.

Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?

Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.

Maendeleo hayana vyama!
Tutakujibu.. hapa anaweza kuratibu yafuatayo
1. kupotea kwa watu akina Ben Saanane,
2. kupigwa risasi akina Lisu
3. Nikupe gari etc halafu umtangaze mpinzani mshindi
4. Wizi wa kura za serikali za mitaa
5. Wizi wa kura za urais
6. etc etc....................................

By the way habari za mwaka mpya? Upo?
 
2345690.jpg
 
Kilichokuwa kinafanywa na Trump ni kuvamia bunge, kitu ambacho ameshindwa vibaya kulidhibiti na kufanya liamua atakavyo yeye.

Kwa upende mwingine hapa TZ Magufuli amefanikiwa kuvamia na kuharibu bunge pamoja na mahakama zetu! Tuna bunge kibogoyo na la hovyo kuwahi kutokea kwa sababu ya Jiwe. Mahakama vivyo hivyo.

Sifa zako kwa TZ kama uvyojaribu kueleza ukilinganisha na yaliyotoakea Marekani inaonyesha umbilikimo wa ufahamu wako katika kutafsiri mambo!
 
Alichokifanya Trump ndio kinachofanyika hapa Tanzania, ila Trump ameshindwa huo uhuni wake maana huko rais sio mungu kama hapa Tanzania, na huko taasisi zina nguvu kuliko madaraka ya rais.
Hii point Mataga hawataki kabisa kuisikia!Watapita tu kama hawaioni!Huku hata Rais aamue kuua raia wake wanaompinga,bado vyombo vitaendelea kumnyenyekea na pengine vyenyewe ndio vikawa vinatekeleza unyama huo!Marekani unakuta hata FBI wanamchunguza Rais kama ana tuhuma mbaya!Mahakama unakuta haimtumikii Rais badala yake hoja na ushahidi ndio vinaamua kesi!
Kwa nchi za Africa ni majanga!
 
Tutakujibu.. hapa anaweza kuratibu yafuatayo
1. kupotea kwa watu akina Ben Saanane,
2. kupigwa risasi akina Lisu
3. Nikupe gari etc halafu umtangaze mpinzani mshindi
4. Wizi wa kura za serikali za mitaa
5. Wizi wa kura za urais
6. etc etc....................................

By the way habari za mwaka mpya? Upo?
Mmmm!!!!unanichanganya ujue.
 
Huwezi kulinganisha mwalimu na mwanafunzi. Kilichokea ni matokeo ya kumpa uhuru kupitiliza rais ambae kichwani hayupo vizuri.

America amekuwa mfano wa democracy miaka na miaka. Trump anakuwa rais wa kwanza kutawala muhula mmoja.
Na hili sio tatizo za institution za america.. bali rais mwenyewe ni jipu.. ndio maana kaondolewa
Mkuu huwa unaisoma vizuri historia? Kwamba Trump ndo anakuwa rais Wa kwanza kukalia term moja ya urais
 
Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.

Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?

Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.

Maendeleo hayana vyama!
Yaani wewe elimu yako ndogo demokrasia siyo matakwa ya kiongozi wa nchi na chama chake bali ni matakwa ya wananchi wote kwa ujumla wao hivyo andiko lako halina mantiki.
 
Huwezi kulinganisha mwalimu na mwanafunzi. Kilichokea ni matokeo ya kumpa uhuru kupitiliza rais ambae kichwani hayupo vizuri.

America amekuwa mfano wa democracy miaka na miaka. Trump anakuwa rais wa kwanza kutawala muhula mmoja.
Na hili sio tatizo za institution za america.. bali rais mwenyewe ni jipu.. ndio maana kaondolewa
Trump sio rais wa Kwanza kuongoza muhula mmoja wapo karibia Marais 7 nyuma yake waliongoza muhula mmoja, mbaya zaidi Kuna wawili hata nusu muhula hawakuumaliza walishinikizwa na bunge wajiuzulu kwa blanda tofautitofauti zilizotekea mwanzo mwanzo wa utawala wao!
 
Hehehe... imebidi nicheke kicheko cha dharau mno.

Nchi zilizostaarabika kisiasa zinaendeshwa kwa mifumo na taasisi imara.

Hakuna mambo ya sijui mzizi umejichimbia ardhini. Mara sijui "muhimili wangu" umejikita matopeni.

Mahakama imemdhibiti Trump ipasavyo. Alitaka kuleta ulevi wake akarudishwa kwenye MSTARI.

Bunge ndio likammalizia kabisa. Kama ni jeneza basi nyundo imeshindilia msumari wa mwisho.

Ndio maana anababaika anajaribu kuwatumia manyumbu walete ghasia. Those are the last kicks of a dying horse. KWISHA HABARI YAKE.

Hakuna cha mzizi umejichimbia matopeni.

Huko Tanganyika, ndugai anaamrishwa jinsi mfalme atakavyo. Na hana jeuri ya kuleta fyoko. Athubutu aone!

Nchi inaendeshwa kama geto la machokoraa!
Safi sana
 
Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani.

Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea?

Itoshe tu kusema Tanzania tuko vizuri kidemokrasia.

Maendeleo hayana vyama!
Tatizo lako hujui kutofautisha kati ya chizi na Rais, Trump yule ni chizi alieingia madarakani kimakosa
Hivyo basi baada ya wananchi wa marekani kutambua hilo, bila kusita wakaona haifai chizi huyo kuendelea kuongoza Amerca kutokana na matatizo ya akili aliyonayo.
Ndipo kutokana na democrasia walionayo wananchi hao wa Amerca, wakachukua hatua za kumuondoa chizi huyo ikulu,
Kwa kumpigia kura za ushindi mh.Joe Biden mwenye akili timamu, mpole mnyenyekevu na asiye na ubaguzi wa kipumbavu wa rangi.
 
Back
Top Bottom