Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,688
- 3,395
Umemaliza. Huyu jamaa kwa mada hii nimemuona hawezi kabisa kutafsiri mambo. Uelewa wake ni mdogo sana.Kilichokuwa kinafanywa na Trump ni kuvamia bunge, kitu ambacho ameshindwa vibaya kulidhibiti na kufanya liamua atakavyo yeye.
Kwa upende mwingine hapa TZ Magufuli amefanikiwa kuvamia na kuharibu bunge pamoja na mahakama zetu! Tuna bunge kibogoyo na la hovyo kuwahi kutokea kwa sababu ya Jiwe. Mahakama vivyo hivyo.
Sifa zako kwa TZ kama uvyojaribu kueleza ukilinganisha na yaliyotoakea Marekani inaonyesha umbilikimo wa ufahamu wako katika kutafsiri mambo!