IFRS
JF-Expert Member
- Dec 19, 2014
- 2,904
- 5,168
Bernard Membe ameitwa kwa barua kwenye kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi, amesomewa mashtaka/tuhuma zake, akapewa nafasi ya kujitetea na mwisho tuhuma na utetezi ukawasilishwa kwenye vikao vya chama na mwisho kamati kuu ikapitia utetezi wake na mwisho ikatoa hukumu ya kumfuta uanachama.
Ila kuna chama kingine tuhuma zimetolewa, mtuhumiwa hakuitwa kuja kujitetea na hukumu ikatolewa ya kufutwa uanachama.
Halafu hawa wanamwita Rais Magufuli dicteta ila Mbowe ni mwanademocrasia
Ila kuna chama kingine tuhuma zimetolewa, mtuhumiwa hakuitwa kuja kujitetea na hukumu ikatolewa ya kufutwa uanachama.
Halafu hawa wanamwita Rais Magufuli dicteta ila Mbowe ni mwanademocrasia