Demokrasia na tume huru ina raha yake. ANC na EFF patachimbika 8/5/2019

Mkuu kupingana kwa EFF na DA kunatokana na Sera na Malengo ya vyama.
Kuna wakati walishirikiana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na walifanikiwa kushinda maeneo muhimu. Yaani sio kushirikiana maana sera zao zipo tofauti sana ila kuna sera ya kuachiana majimbo mfano western cape hakuna haja ya EFF kujipenyeza na maeneo kma mpumalanga DA inaweza isifanye kampeni kabisa huko na kuacha wapiga kura kuchagua mpinzani mmoja tu kma EFF.

Mfano Gauteng ANC ilishinda kwa tundu la sindano 50% pekee.... Lakini wapinzani ssa hakuna aliyefika hata 30% wote waligawana kura kiasi kwamba ANC ingeweza shirikiana na chama kidogo sana kuunda serikali.

Haya makosa yanagharimu upinzani wa Sauzi..... Ila wakishirikiana ANC itakuwa inaangushwa kwa absolute majority.
 
Sawa. DA imeshinda kwa kishindo
Malengo makubwa ya DA yalikuwa haya
1. Kutetea western cape kwa majority kubwa
2. Kuishusha ANC chini ya 50% Gauteng

La kwanza wamefanikiwa na la pili ilibaki wametekeleza kwa 99.4% maana ANC ilikomea kwenye 50% pekee. Hivyo kwa malengo hayo naweza kusema DA imefanikiwa kwenye uchaguzi huu.

Hapo ukizingatia kulikuwa na mgogoro mkali sana kati yao na Hellen zille uliogawa kabisa chama kwa zille kuanzisha chama kipya ambacho kimegawa kura kiasi.

Tusiwe biased kwenye uchambuzi kisa ushabiki wa vyama.... Malema is overrated
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom