Wewe una mawazo mgando ya kikalekale sana. Hakuna cha kugawa watu hapo. Ni chama cha siasa kilichopo kwa mujibu wa sheria za Africa ya kusini. Na hata hao makaburu ni watu na ni raia wa Africa kusini. Sasa kuna dhambi gani na wao wakipitia mchakato halali kupata uwakilishi katika chombo cha maamuzi?DA ni pandikizi la wazi la makaburu kwa ajili ya kuwagawa Waafrika Kusini. Malema aliliona hilo mapema. Ni sawa na UKAWA huko kujiunga na Lipumba sasa huoni kama ni u K?